Kuna wanajukwaa humu hawana misimamo hasa huyu wa kujiita sijui mkokamoto nakadharika,
Miezi kadhaa nyuma alisapoti mama samia pale kati akasapoti chadema soon akafuata upepo na Mpina sahivi eti...
Kwa miaka mitatu sasa maeneo ya Vigunguti ukiwa unatoka Tabata Barakuda unavuka kwenda Upande wa pili wa mto msimbazi kumekua na magari yanachukua mchanga wa mtoni wanasafirisha. Magari ni Makubwa...
Nimefatilia binadamu wengi wabaya tena waliokuwa wakichukiwa sana huanza kupendwa na kuonekana wema pale tu wanapofariki sijui hii inatokana na nini?
Kuna wakati nachukiwa na watu mpaka natamani...
Mithali : Mlango 28
16 Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana;Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake.
Iwe nyumbani, ofisini, klabuni, mtaani, wilayani au mkoani. Mahali popote...
Makala ya Pili:
Taifa halijengwi na kauli nzuri tu za ahadi ya Lami na maji, wala halisimamishwi na ndoto zisizokuwa na miguu. Taifa linajengwa na mikono ya watu wake, linadumishwa na mshikamano...
Kumekua na upotoshwaji kutoka kwa wanasiasa ya kwamba huduma ya afya ya wajawazigo ni bure hapa inchini.
Jambo hilo ni uongo mkubwa na uchonganishi kati ya wanainchi na wahudumu wa afya hapa...
Ni miezi 6 sasa nafuatilia usajili wa kikundi chetu kwa mkuu wa wilaya ya kinondoni chini ya wizara ya mambo ya ndani.
Kila nikienda nipate majibu wananiambia taarifa zetu hazijarudi na hawajui...
Walimu wa shule za Kayumba wamegeuza watoto mitaji.. Mtoto bila kwenda shule na Mia tano ya chakula plus Mia tano ya mitihani anapigwa sana au haruhusiwi kuingia darasani. Shule zingine bila buku...
Jana azam media wametangaza stori kuhusu ubovu wa taa za kuongozea magari za isevya Tabora.Zimeharibika toka mwezi wa pili mwaka huu.Hii ni aibu,waziri anayehusika hebu nenda mwenyewe ukamuondoe...
P
Watu wengi huteseka kiroho na kimwili kwa matatizo mbalimbali huku wengine wakidhani kurogwa wengine wakidhani wameibiwa ama kuchafuliwa nyota lakini watu wengi husahau juu ya laana ambazo...
Wakuu,
Magomeni ni mojawapo ya kata ya zamani sana, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kuishi magomeni! Kata maarufu zaidi duniani Kwa biashara Kariakoo iko karibu kabisa Na Magomeni hivyo...
Kulingana na mitazamo ya kiutamaduni, kidini, na kiroho (na si kisayansi), uchawi huaminika kupata nguvu kwa njia mbalimbali kama ifuatavyo:
1. Imani na Nia (Intention & Belief)
Watu wengi...
Mzuka Wana jamvi....
Mika ya nyuma na kipindi nipo mdogo kulikuwa na wimbi kubwa la Wazazi na Jamii kwa ujumla wakihamasisha watoto wasome ili waukimbie umasikini wapate kazi na wawe na maisha...
Makala ya Kwanza:
Wakati tunaasisi Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), sikuliona kama sehemu ya kuuza ajira. Sikuliwaza kama mlango wa kuingilia kwenye mishahara au fursa binafsi. Nililiona kama darasa...
FAHAMU KUHUSU MITEGO MITATU HATARI YA KICHAWI NA JINSI YA KUIEPUKA.
Wachawi wengi hutumia mbinu mbalimbali katika kufanikisha mipango yao ya kichawi kwa watu walio kusudia...
Mjumbe Maalum wa Masuala ya Wanawake Amani na Usalama Barani Afrika, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amekutana na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Amani na Usalama...
ZIFAHAMU AINA ZA NUKSI NA MATIBABU YAKE
Mtu akisema kama ana Nuksi maana yake ni kwamba mtu huyu kila jambo lake alitakalo haliwi au kila anachotaka kukifanya hakienda kama vile anavyotarajia au...
Siri iliyopo katika Miguu yako na Ulimwengu wako wa Roho
Umewahi kujiuliza kwanini wachawi huwa wanachota mchanga mahali zilipokanyaga nyayo za mtu?
Ndugu mpendwa , miguu yako ina maana kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.