MAJIKO BANIFU KUPUNGUZA MATUMIZI YA MKAA NA KUNI MBEYA .
📌 Majiko banifu 9,330 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoani Mbeya
📌 Wilaya Sita kunufaika na mradi
📌 Kila Wilaya kupata majiko...
Kumbuka ni ijumaa ya wiki hii na mwezi huu...
Je, Unabii Utatimia na kitu Gani kitatokea tusubiri...
https://www.instagram.com/reel/DN0iage2O2y/?igsh=MWV2YzFhcGg1NTl4dQ==
Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania
Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao...
MTAA UNATAKA NINI....
Kila kijana ana ndoto za kupata pesa aijalishi atafanya kazi gani ila lengo ni pesa..watoto wameacha shule wakidai wanapoteza tu mda wao kusaka elimu ikiwa lengo la elimu...
PETE ZA BAHATI
Natamani kuvaa pete za bahati ila sasa naogopa sielewi inamaana Gani.Nasikia kwa mujibu wa jamaa fulani alisema,wakati akitafuta pete ya bahati aliambiwa apeleke damu ya...
Aina ya mwanamke mwenye hurka ya utupu utupu ndio anakuwa glorified katika mitandao na media,
Pedophiles kila angle wanakenulia mabinti zetu wadogo,
Access ya vifaa vya mtandao vipo karibu yake...
kwema wakuu, mimi sio mwandishi mzuri, naomba huu uzi uwe kwenye stail ya maswali..ili niandike kile mnachohitaji tu.
Niulize na nitajibu bila kuficha kila kitu, lengo ni kupeana moyo.
Hapa...
Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm...
Eeeh wakuu mpo?
Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au...
Mimi ni mdau sana wa shughuli za Uhamiaji, nafanya kazi kwenye taasisi moja ya kimataifa hivyo tunasafiri sana na pia tuna deal sana na kuomba vibali kwa wageni wetu.
Kwa sasa kuna uhaba mkubwa...
Jeshi la Polisi hivi karibuni limeanzisha mkakati wa kuboresha utaratibu wa leseni za Udereva kwa kuwataka madereva ili kukidhi sifa za madaraja waliyonayo wapate kozi kuhuisha sifa zao katika...
Inaonesha kesho (tomorrow kwa lugha ya Mabeberu) muda na post ambayo mtu atatuma na jina linaoneshwa kabisa ingawa hapo kwenye majina mimi nime hide.
unaweza isoma leo kabisa in advance. Angalia...
Habari
Kuna Chuo nimesoma Kinaitwa Ministry of agriculture training institute ILONGA (MATI-ILONGA) kipo Wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro; kinatoa level ya Certificate na Diploma za KILIMO...
🤷🏾♂️JE UAMSHO WA KIROHO NI NINI?
Mwamko wa Kiroho ni pale mtu anapofahamu asili yake halisi na utu wake wa kipekee.
Wakati hii itatokea katika maisha yako, utakuwa na hisia mpya ya kuona vitu...
Hii Benki sielewi inakumbana na changamoto zipi.
Huduma zao ni mwendo wa Kobe , customer care ni mbovu , huduma ya simbaking naipata kwa kubahatisha., ukiomba mkopo wanakupa kwa kujisikia wao...
Habari wakuu,
Je wajua kuwa custom Artificial Intelligence (AI) inaweza kuwa msaada mkubwa kwenye biashara yako ya mtandaoni? unaweza kuitumia leo kuboresha website yako au blog yako.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.