A
Anonymous
Guest
Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi, wajawazito wanadaiwa kulipia kadi za kliniki Shilingi elfu 2, hii si sawa kwa sababu huduma za mama na mtoto ni bure kwa mujibu wa sera ya Afya!
Mganga Mkuu wa Halmashauri atolee ufafanuzi, bahati mbaya hawatoi risiti. Pia, wafuatilie katika Kituo cha Afya cha Sabato SDA kilicho karibu na Kanisa la Sabato Mpanda Mjini.
Pia, vipimo vya uwingi wa damu na HIV vinalipishwa pesa wakidai havipo kwenye bima.
Hii ni kweli?
Pia soma ~ Naibu Waziri wa Afya- Dkt. Florence: Wajawazito wapate huduma za afya bila kikwazo cha fedha