🍇Bila shaka katika maisha yako umewahi kusikia neno 'KOMBORA' hususan katika tasnia ya lugha za kichawi, 'kwamba ntakupiga kombora' huwa sio i ya kificho, hiyo ndio lugha halisi ya kwamba ukipigwa...
“Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu.” (Mathayo 28:19)
Lakini tunajua kuwa Mathayo naye alitungia hii “Amri Kuu...
Naombeni wataalam wa sheria mnisaidie. Kuna hospitali moja nimewahi kwenda kupata matibabu.
Sasa imekuwa kero kila uchao. Natumiwa sms kila wakati kama matangazo ya huduma zao. Naombeni ushauri...
Watoto watatu wa kike wakazi wa kijiji na kata ya Mkula, Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, wamefariki dunia wakiwa kwenye makambi ya Kanisa la Waadventisa Wasabato wilayani hapo
Chanzo cha tukio...
Kama sikosei ni takribani miaka miwili au mitatu imepita tangu serikali ilipotangaza na kupitisha makato maalumu (Tozo za serikali) kwenye miamala ya simu.
Serikali ilisema kwamba tozo hizo...
Wasimamizi wa mzani wa Wenda upande wa kurudi Dar wanachezea mzani gari inazidi na ukienda mzani wa mikumi, mikese na vigwaza unakuta gari zipo sawa kabisa.
Tunaomba mamlaka zitusaidie kero hii.
Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya.
Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo.
Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa...
Kumekuwa na viashiria vya rushwa kwenye utoaji wa mikopo ya 10% kwa Vijana katika Wilaya ya Newala Vijijini Mkoani Mtwara.
Tuliunda kikundi na kufata taratibu zote lakini mwishoni tunaelezwa...
Tusisahau kuishi wakuu life is good LG nashukuru mungu leo kanibless kijana wake nimeokota kanuni ni kuwa fifteen percent ya hela inayoingia ni kwa ajili ya refreshment.
Sasa baada ya kuokota...
Kuzika wafu ni moja ya desturi muhimu katika jamii zote duniani, na njia zake hutofautiana kulingana na imani za dini, tamaduni, mila na mazingira. Hapa kuna njia mbalimbali zinazotumika:
1...
Ndugu/Mtoto wa kishua ukimuweka close anaona kama vile unataka kumuomba pesa zake, hivyo anaanza kukukwepa.
Ndugu/Mtoto wa kishua ukimuweka mbali bila kuwasiliana naye anaona kuwa inferiority...
Itinerary ya Safari ya Siku Mbili – Serengeti National Park (Camping Safari)
Karibu sana ndugu yangu Mtanzania! Kama tour guide mwenye miaka mingi ya uzoefu, napenda nikushirikishe itinerary ya...
Baada ya kusambaa kwa video ikumuonesha Mwanafunzi amefungwa mnyororo darasani, kama hukuiona ipo hapa ~ Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo, Jeshi la Polisi limechukua hatua...
Huu nao ni URAIBU mbaya sana
Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...
Kama unajipenda anza zoezi la kuacha..
SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA
1. Shambulio la moyo
2 uraibu...
Kwenye Jf nimeona kuna mabishano yanatokea kwenye mada mbalimbali kuhusu Uwepo
Wa Mungu
YOHANA
1.Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo...
karibuni ndugu wakiristo tuambiane Leo kanisani kumetokea miujiza gani kutoka kwa waumini nawachungaji
hasa kwamadhehebu ya walokole wakatoliki sidhani kama wanahaya mambo ya miujiza
waumini...
Naandika kwa masikitiko makubwa juu ya utaratibu wa kusajili kampuni ndogo za kutoa huduma ya Uhasibu kwa Umma hususani kwa watoa huduma wadogo (Small firms).
Pamoja na viambatisho vingi...
JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi mno...