Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu tunaelekea wapi? Bila shaka hii ni dar es salaam. Mtoto ameshaanza kujifunza upuuzi akiwa katika umri huu?
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Atavaa kila aina ya nguo awalingishie, kila demu atazaa nae kuonesha umwamba wake, kila hatua atakayopiga ata prove kwenu kuwa amewazidi kwa maana nyie ni wapumbavu kuzidi yeye Juzi mmoja wao...
4 Reactions
17 Replies
612 Views
Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa MOI tunawatakia Watanzania wote heri ya sikukuu ya Mawlid. Tusherehekee kwa amani na utulivu.
2 Reactions
0 Replies
202 Views
Yohana 16:12 (Biblia) inasema: "Bado nina mambo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili sasa." Hii ni kauli ya Yesu alipokuwa akizungumza na wanafunzi wake kabla ya kusulubiwa kwake...
1 Reactions
129 Replies
4K Views
Haiwezekani mtu uishi kwa vitabu vya hadithi na mistari ukawa mzima labda mfu. Haiwezekani Mungu akuletee watu wengine nje ya jamii yako eti ndiyo wakuoneshe njia ya mbinguni. N.K.
3 Reactions
4 Replies
285 Views
Tuzo za Nobel ni miongoni mwa heshima kubwa zaidi duniani katika kutambua mchango wa kipekee wa wanadamu katika nyanja za sayansi, fasihi, na amani. Zimekuwa dira ya juhudi za ubinadamu kwa zaidi...
4 Reactions
12 Replies
814 Views
Makala ya Tatu Ndugu zangu, Kila taifa linalodumu na kustawi huwa na shule ya uzalendo, mahali ambapo vijana wake hujifunza siyo tu kupiga risasi au kufanya kazi ya mikono, bali kujifunza hekima...
1 Reactions
1 Replies
262 Views
Tukiachana na vitu kama mahali ilipo nyumba na uchumi wa watu, kihasibu kabisa kodi ya nyumba inakuwa calculated namna gani?
0 Reactions
3 Replies
349 Views
Leo nimekuwa nikisoma Ilani ya CCM kuangalia masuala mbalimbali waliyoeleza kwenye sera yao kwenye harakati zao za kuomba ridhaa kuendelea kuongoza. Theoretically, Ilani ya Chama inabidi kuelezea...
2 Reactions
1 Replies
252 Views
Mnaambiwa mwache kulalamika mfanye kazi malalamika tena😀, mbona nyie watu hamweleweki, Kila awamu nyie ni kulalamika tu. Tukiachana na awamu ya Nyerere na Mwinyi ambayo sina...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
HAKUNA JIJI LENYE MPANGILIO WA HOVYO KATIKA USAFIRI KAMA ARUSHA.. Kiukweli inashangaza sana kuona jiji kama Arusha linazidiwa na Mikoa ambayo haina hadhi kama ilivyo Arusha kuwa na mpangilio...
5 Reactions
9 Replies
677 Views
Mommy Dimpoz akiwa na Diamond platinum na Jux wametukana Watanzania wanaodai uchaguzi huru na wazi, katiba mpya, kupinga utekaji na ufisadi ati ni wavivu na wapumbavu....zenu wote" Bora hao...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Naziona ziko nyingi ila kuna nyingine hata hazitumiki zilinunuliwa nyingi na bado ziko bandarini cha ajabu sometimes wanaazima bus za binafsi ila me nazipenda Sana hizi bus aisee 🤣🤣 wakuu hii mada...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa kiume miaka 19 nimemaliza form 6 na kuapply chuo nasubiri majibu sasa. Lakini likizo hii imekuwa chungu kwangu maana wazazi kila siku wananisema tu. Wananilazimisha...
16 Reactions
117 Replies
5K Views
Kwa watu wenye hekima na maarifa na ufahamu wa kutambua nyakati. Napenda kutoa ushauri kwa wakubwa wa nchi haswa wale wa ndani kabisa wanao shikilia na kumiliki majalada nyeti sana. Katika...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu. kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho...
7 Reactions
133 Replies
6K Views
Kuteki mambo kibinafsi ni hali ya ubinafsi uliopitiliza, au kwa lugha nyingine, umuhimu wa kibinafsi. Hii ina maana ya kujipa kipaumbele kuliko kitu kingine chochote. Na huo ndio mwanzo wa...
13 Reactions
28 Replies
1K Views
Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa...
3 Reactions
1 Replies
289 Views
Habari za Wakati huu Wazee Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu nizimie kwa mshituko huo. Nimekuja hapa sehemu moja karibu na ninapokaa nikataka niagize kinywaji huku nasikiliza...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom