Walker Water
JF-Expert Member
- Aug 23, 2022
- 785
- 2,953
Kwa watu wenye hekima na maarifa na ufahamu wa kutambua nyakati. Napenda kutoa ushauri kwa wakubwa wa nchi haswa wale wa ndani kabisa wanao shikilia na kumiliki majalada nyeti sana.
Katika nyakati hizi ili kutenda kwa akili na ufahamu na hekima, nyakati hizi zinahitaji, kwanza, kuchoma baadhi ya majalada makubwa na nyeti na majivu yake kutupwa kabisa baharini, pili kujifanyia "cross checking" ya nguvu na ya uhakika na tatu ni kujidunga sindano ya kupetaza memory kwa wale wote waliogusa hayo majalada.
Hali si hali wakuu kwani pazia la nchi lilishapasuka na majalada vyeti kusambaa kwa upepo wa nguvu la kupasuka kwa pazia, kuna watu wameyaokota majalada hayo na kuyahifadhi na wanajifunza kwa bidii sana lugha iliyoandikwa humo ili wapate siri zilizopo.
Kama ilivyo kawaida ya watu kula kiapo cha kutokutoa siri ni bora kufa, hivyo hivyo kuna watu wamekula kiapo cha bora wafe kuliko kutokutoa siri na karibu watayafikia hayo majalada.
Nashauri msiishie tu kuelekeza nguvu nyingi kupambana na mvua za Elli-Nino ambazo mnajua fika zinaashiria nini kiroho.
Mwisho mmeingia mtego wa kupambana na "kiti" ambacho kina nguvu kuliko "kiti" chenu na wenye hekima ya utawala wanalijua hili sema wanafanya makusudi baadhi na wengine wanajaribu kupima nguvu kimzaha na wengine waogopa nyakati na kukaa kimya.
Hapa ndipo penye hekima.