Kwa kweli huduma ya TTCL Fiber imekuwa changamoto kubwa katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam. Wananchi tunafuata taratibu zote za kuomba huduma, tunajaza fomu na kusubiri, lakini kuna Watu zaidi...
Naamini kilichaondikwa kwenye hilo "tangazo" ni kweli! Hakuna tena longo longo kwenye utoaji wa PASI YA KUSAFIRIA! Kinachohitajika ni NIDA, BIRTH CERTIFICATE yako na ya MZAZI wako mmoja...
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limekichukulia hatua za kisheria kiwanda bubu cha SUMING kilichopo Mtaa wa Regent Estate katika Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni...
Naomba nisaidiwe taarifa zifuatazo:
1. Mabasi yanatoa huduma ya usafiri kutoka Tanzania, na makisio ya nauli kama itawezekana. Nikipata namba zao za simu ni ni vizuri zaidi!
2. Safari yangu...
Kwanini nimeandika Uzi huu?
Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea.
Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa...
Kumekuwa na 'Trend' hivi karibu kwa wasifirishaji abiria Mjinia "DALADALA" kukwepa Vituo Rasmi vilivyotengwa kwaajili ya Kupakia na Kushusha abiria na kisha kuegesha njiani ili kumzui mwenzake...
"Bara la Afrika pekee lina Mabilione 140,000 sawa na asilimia 1 ya Mabilionea wa Dunia nzima ambapo katika idadi hiyo Mabilionea 5,740 wanatoka Nchini Tanzania ambao wanamiliki asilimia 4.2 ya...
Nilikuwa kanisani mwaka jana.
Ikatokea wagonjwa waliokuwa wanahitaji kiti cha magurudumu cha KKKT. Nyumbani nilikuwa na viti viwili vya magurudumu vya baba na bibi. Niliamka asubuhi nikakabidhi...
Ukiangalia barabara ilivyo kuanzia kimara hadi mbezi zile njia nane na service road inapendeza na inarahisisha saana serikali ingepanua kama hapo mbezi to moro town pale chalinze inapigwa...
Septemba 04, 2025 Mahakama ya Wilaya Kibiti Mkoa wa Pwani imemuhukumu Ally Sylvester Adobe (17) mkazi wa Kijiji cha Jaribu Mpakani wilayani Kibiti kwa kosa la kubaka Mwanafunzi miaka (16)...
Inaumiza sana kuona sasa magari ya kusafirishia ng'ombe kwenda machinjioni kwa sasa ndio usafiri mkuu wa wananchi kwenda kwenye mikutano ya CCM (ila vyama vingine havithubutu kufanya hivi)
Mh...
Ni baada ya kushuhudia vijana wawili ambao kimuonekano ni kama walishavuliwa ubingwa (Gays) wakijaziwa nzi yaani unaambiwa kitaa cha kutoka Karume kuja China plaza ni kelele tupu wakiwazonga na...
Mwanafunzi wa darasa la saba (13) shule ya Msingi Ngarenaro Jijini Arusha amefungwa na mnyororo na kufungwa kwenye dawati Darasani na Mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa kile kilichoelezwa kuwa kuwa ni...
n mda sasa leo nimewakumbuka wazee wa tigoo
walikuwa wanakamata pikpik na wengine walijilimikisha kabisa mishahara vs bodaboda yaan wakifika kijiweni boda incharge anakuwa ashakusanya mafao...
Wana jamii habarini. Naomba msaada wa kujua ni wapi naweza nikapata mafunzo ya kinanda au keyboard ya mziki hapa arusha mjini. Hata kama ni mtu binafsi ila anifundishe kitaalam na awe na kinanda...
Wasalam,
Utaratibu mbovu na kukosa utaratibu kwa hizi ICD (Inland Container Depot) waswahili tunaita bandari kavu kunapelekea foleni kwa sisi tunaotoka na kuingia Kigamboni kupitia Daraja la...
Mfumo wa udahili wa mwaka 2025/26 na majibu yaliyotangazwa jana umekuwa kandamizi na unaumiza wanafunzi pamoja na wazazi. Wanafunzi wanapochaguliwa mara mbili au zaidi, wakijaribu kufanya...
Wakuu hii Makato NMB mkononi to Lipa namba ya Voda yameanzia kwangu tu au ni kwa kila mtu.Juzi nimefanya muamala wa wa laki na 50 wamenikata almost 5,000 wakati kabla ya hapo nikilipa NMB kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.