Don't take things Personal

Don't take things Personal

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,882
Reaction score
30,376
Kuteki mambo kibinafsi ni hali ya ubinafsi uliopitiliza, au kwa lugha nyingine, umuhimu wa kibinafsi. Hii ina maana ya kujipa kipaumbele kuliko kitu kingine chochote.

Na huo ndio mwanzo wa maumivu yako, kama hujui. Yaani, unajiona mwerevu, hukosei, na unastahili kilicho bora. Hivyo, mtu akikuataki kidogo tu, unavurugika na kutoa mapovu kama yote.

Jifunze kutochukulia mambo kibinafsi na utakuwa na furaha siku zote. Tambua kwamba watu wanapokusema au kukutukana ni tatizo lao na si lako. Wanaonyesha udhaifu wao kupitia kwako, kwa hivyo usiwape furaha hiyo.

Mtu akikwambia una roho mbaya, hayo ni mawazo na maoni yake kulingana na imani au malezi yake, si lazima yawe kweli. Mtu anapokwambia wewe ni mjinga au mpumbavu, hayo ni maoni yake na si yako. Ni mtazamo wake juu yako. Sasa, kwa nini mtazamo au maoni yake yakusumbue? Utaumia endapo utakubaliana naye kwamba wewe ni mjinga na mpumbavu.

Kama mmeshawahi kunoti, kuhusu mimi, wakati mwingine naambiwa maneno mabaya na wapuuzi fulani, huwa najibu asante tena kwa roho safi kwa sababu siteki mambo kibinafsi. Yaani, sihitaji wewe uniambie mimi ni nani kwa sababu najifahamu vizuri. Sihitaji uniambie nina busara kwa sababu hayo ni maoni yako; najijua mimi ni nani. Unaelewa hoja yangu, watu wangu?

Sihitaji uthibitisho kutoka kwako kwa sababu najua ninachofanya. Kwa jambo lolote wanalokwambia watu au kufanya juu yako, basi usilichukulie kibinafsi, utakuja kunishukuru baadaye.

Unajua kwa nini huwa tunateka mambo kibinafsi? Ni kwa sababu tunaogopa kuonekana hatuna akili au wadhaifu na hatujipendi. Ukiambiwa huna akili, fasta unaanza kureact na kujitetea kwa sababu hutaki kuonekana mpumbavu au mjinga, jambo ambalo ni baya sana. Kama unajiamini na kujifahamu vizuri, huna haja ya kuthibitisha kwa mtu kuwa una akili nyingi.

Malumbano mengi yanayotokea katika mijadala hapa jukwaani ni kwa sababu tunachukulia mambo kibinafsi. Tunatukanana sana na kutoa mapovu kwa kukosa maarifa, hatujiamini na tunaogopa kuharibu sifa yetu hapa jukwaani. Kama tungejua, tunavyotukanana ndivyo tunavyoonekana jinsi tulivyo punguani.

Siku zote jifunze kutoruhusu hisia na mawazo ya mtu yakutawale na kukumiza. Yeye ana mamlaka gani ya kuthibitisha kwamba huna akili? Ametumia kigezo gani?

Ukitafakari kwa kina, huyo ni mtu ambaye anatoa tu maoni yake na si ukweli wa mambo. Sasa kwa nini maoni ya mtu yakudhuru?

Tuje kwenye angle nyingine. Wakati mwingine, akili yetu ina tabia ya kujiongelesha yenyewe na kusikiliza vyanzo vingine vya taarifa. Sasa, kuna wakati akili inaweza kukwambia "wewe ni mjinga" ndio maana hudumu katika mahusiano. Cha kufanya ni usichukulie mambo kibinafsi, ipuuze tu. Vile vile, kuna sauti ndogo ndani yetu wakati fulani inayotuambia hatuna thamani au hatuna akili au ni wapumbavu. Usichukulie mambo kibinafsi, achana nayo kwa sababu sauti hiyo imewahi kusikia ukijiambia mwenyewe kuwa wewe ni mpumbavu, hivyo inakukumbusha kuwa wewe ni mpumbavu. Usisikilize.

Ukweli ni kwamba binadamu tuko addicted na kuumizwa, ndio maana siku zote tunatafuta mambo ya kutuumiza. Mtu anapokutukana, anatarajia nawe utamtukana, si ndio? Maana yake ni kwamba kwa kukutukana wewe, anataka naye atukanwe. Hivyo, tupo addicted na kuumizwa.

Tunaweza kuachana na hii cycle kwa kutochukulia mambo kibinafsi na kuwa watu wenye amani na furaha. Next time mtu akikutukana, tabasamu, kwa kuwa sio tatizo lako linalomfanya akutukane bali ni lake. Yeye ndio mwenye shida zake na sio wewe.

Ni hayo tu!
 
Kuteki things personal ni ile hali ya ubinafsi uliopitiliza au kwa lugha nyimgine personal importance,,yaani unajiweka kipaumbele kuliko kitu kingine chochote kile.

Na ndio mwanzo wa maumivu yako kama hujui,yaani wewe ndio mwerevu,hukosei na unastahili kilicho bora,ndio maana mtu akikuataki kidogo basi unavurugwa na kutoa mapovu kama yote

Jifunze kutochukulia mambo personally na utakuwa na furaha siku zote,tambua kwamba watu wanapokusema au kukutukana ni tatizo lao na si lako,yaani wanaonyesha udhaifu wao kupitia kwako kwahiyo usiwape furaha hiyo

Mtu akikwambia wewe una roho mbaya hayo ni mawazo yake na maoni yake kwa jinsi anavyoamini au kulelewa si lazima yawe kweli,mtu anapokwambia wewe ni mjinga au mpumbavu hayo ni maoni yake na siyo yako,ni mtazamo wake juu yako,,sasa kwanini mtazamo wake au maoni yake yakusumbue? Utaumia endapo utakubaliana nae kwamba wewe ni mjinga na mpumbavu

Kama mmeshawahi kunoti kuhusu mimi smtm naambiwa maneno mabaya na wapuuzi fulani huwa najibu asante tena kwa roho safi kwasababu siteki things personal,,yaani sihitaji wewe uniambie mie ni nani kwasababu najifahamu vizuri,,sihitaji uniambie nina busara kwasababu hayo ni maoni yako kwasababu najijua mimi ni nani? Do you get my point watu wangu!

Sihitaji validation toka kwako kwasababu najua ninachofanya,,,kwa jambo lolote wanalokwambia watu au kufanya juu yako basi don't take it personal utakuja kunishukuru baadae

Na unajua kwanini huwa tunatake things personal kwasababu tunaogopa kuonekana hatuna akili au wadhaifu na hatujipendi,,ukiambiwa huna akili fasta unaanza kureact na kujitetea kwasababu hutaki kuonekana mpumbavu au mjinga which is too bad! Kama unajiamini na kujifahamu vizur huna haja ya kuprove kwa mtu kuwa uko na akili mingi

Malumbano mengi ambayo yanatokea katika mijadala huku jukwaani kwasababu tuna take things personal,,,tutatukanana wee na kutoana mapovu kwa kukosa maarifa,,hatujiamini na tunaogopa kuharibu sifa yetu hapa jukwaani,,sasa kama tungejua basi kutukanana ndio tunaonekana jinsi tulivyo punguani

Siku zote jifunze kutoruhusu hisia na mawazo ya mtu yakutawale na kukumiza,,yeye ana mamlaka gani ya kuprove kwamba wewe huna akili? Ametumia kigezo gani?

Unaona kuwa ukitafakari kwa kina huyo ni mtu ambaye anatoa tu maoni yake na si facts. Sasa kwanini maoni ya mtu yakudhuru?

Tuje kwenye angle nyingine,mind yetu huwa sometime ina kawaida ya kujiongelesha yenyewe na ina tabia ya kusikiliza pia kwenye vyanzo vingine vya taarifa,,sasa kuna wakati inajiongelesha yenyewe inaweza kukwambia your stupid ndio maana hudumu katika mahusiano,,cha kufanya don't take things personal ipuuze tu,,,vile vile kuna sauti kadogo ndani yetu wakati fulani kanatuambia hatuna thamani au hatuna akili au ni wapumbavu don't take things personal,,achana nako kwasababu kameshawahi kukusikia siku za nyuma ukijiambia wewe mwenyewe kuwa ni mpumbavu so kanakukumbusha kuwa wewe ni mpumbavu usikasikilize.

Huu ndio kweli binadamu tuko addicted na kuumizwa ndio maana siku zote huwa tunatafuta mambo ya kutuumiza,,mtu anapo kutukana ujue anatarajia nawe utamtukana si ndio? Maana yake ni kwamba kwa kukutukana wewe anataka nae atukanwe ndio maana nikasema tupo addicted na kuumizwa

Tunaweza kuachana na hii cycle kwa kuto take things personal na kuwa watu wenye amani na furaha,,next time mtu akikutukana tabasamu kwakuwa sio tatizo lako linalo mfanya akutukane bali ni lake,,yaani yeye ndio mwenye shida zake na sio wewe

Ni hayo tu!
Dont "take things personal" means?.........in swahili
 
Binafsi huwa na kiwango changu cha mwisho kuvumilia, kiuhalisia huwa watu wananichukulia mtu mpole sana kinachosikitisha ni hata nikikasirika huwa hawaoni hasira zangu wanaona hado nipo kwenye sura ya upole na ndo hapo huwa nawaumiza japo huwa inatokea mara chache kwa miaka mi 5 inaweza ikatokea mara moja na nikimtia mtu adabu hadi nione damu ndo huwa naacha.
 
Mimi naomba kwanza kijua maana ya don't take things personal

Mbona Kama Kuna shida mahali Kati ya headline na maelezo.
 
Binafsi huwa na kiwango changu cha mwisho kuvumilia, kiuhalisia huwa watu wananichukulia mtu mpole sana kinachosikitisha ni hata nikikasirika huwa hawaoni hasira zangu wanaona hado nipo kwenye sura ya upole na ndo hapo huwa nawaumiza japo huwa inatokea mara chache kwa miaka mi 5 inaweza ikatokea mara moja na nikimtia mtu adabu hadi nione damu ndo huwa naacha.
Lucha Umetisha Sana,eti mpaka uone damu ndo uache😂
 
Kuteki things personal ni ile hali ya ubinafsi uliopitiliza au kwa lugha nyimgine personal importance,,yaani unajiweka kipaumbele kuliko kitu kingine chochote kile.

Na ndio mwanzo wa maumivu yako kama hujui,yaani wewe ndio mwerevu,hukosei na unastahili kilicho bora,ndio maana mtu akikuataki kidogo basi unavurugwa na kutoa mapovu kama yote

Jifunze kutochukulia mambo personally na utakuwa na furaha siku zote,tambua kwamba watu wanapokusema au kukutukana ni tatizo lao na si lako,yaani wanaonyesha udhaifu wao kupitia kwako kwahiyo usiwape furaha hiyo

Mtu akikwambia wewe una roho mbaya hayo ni mawazo yake na maoni yake kwa jinsi anavyoamini au kulelewa si lazima yawe kweli,mtu anapokwambia wewe ni mjinga au mpumbavu hayo ni maoni yake na siyo yako,ni mtazamo wake juu yako,,sasa kwanini mtazamo wake au maoni yake yakusumbue? Utaumia endapo utakubaliana nae kwamba wewe ni mjinga na mpumbavu

Kama mmeshawahi kunoti kuhusu mimi smtm naambiwa maneno mabaya na wapuuzi fulani huwa najibu asante tena kwa roho safi kwasababu siteki things personal,,yaani sihitaji wewe uniambie mie ni nani kwasababu najifahamu vizuri,,sihitaji uniambie nina busara kwasababu hayo ni maoni yako kwasababu najijua mimi ni nani? Do you get my point watu wangu!

Sihitaji validation toka kwako kwasababu najua ninachofanya,,,kwa jambo lolote wanalokwambia watu au kufanya juu yako basi don't take it personal utakuja kunishukuru baadae

Na unajua kwanini huwa tunatake things personal kwasababu tunaogopa kuonekana hatuna akili au wadhaifu na hatujipendi,,ukiambiwa huna akili fasta unaanza kureact na kujitetea kwasababu hutaki kuonekana mpumbavu au mjinga which is too bad! Kama unajiamini na kujifahamu vizur huna haja ya kuprove kwa mtu kuwa uko na akili mingi

Malumbano mengi ambayo yanatokea katika mijadala huku jukwaani kwasababu tuna take things personal,,,tutatukanana wee na kutoana mapovu kwa kukosa maarifa,,hatujiamini na tunaogopa kuharibu sifa yetu hapa jukwaani,,sasa kama tungejua basi kutukanana ndio tunaonekana jinsi tulivyo punguani

Siku zote jifunze kutoruhusu hisia na mawazo ya mtu yakutawale na kukumiza,,yeye ana mamlaka gani ya kuprove kwamba wewe huna akili? Ametumia kigezo gani?

Unaona kuwa ukitafakari kwa kina huyo ni mtu ambaye anatoa tu maoni yake na si facts. Sasa kwanini maoni ya mtu yakudhuru?

Tuje kwenye angle nyingine,mind yetu huwa sometime ina kawaida ya kujiongelesha yenyewe na ina tabia ya kusikiliza pia kwenye vyanzo vingine vya taarifa,,sasa kuna wakati inajiongelesha yenyewe inaweza kukwambia your stupid ndio maana hudumu katika mahusiano,,cha kufanya don't take things personal ipuuze tu,,,vile vile kuna sauti kadogo ndani yetu wakati fulani kanatuambia hatuna thamani au hatuna akili au ni wapumbavu don't take things personal,,achana nako kwasababu kameshawahi kukusikia siku za nyuma ukijiambia wewe mwenyewe kuwa ni mpumbavu so kanakukumbusha kuwa wewe ni mpumbavu usikasikilize.

Huu ndio kweli binadamu tuko addicted na kuumizwa ndio maana siku zote huwa tunatafuta mambo ya kutuumiza,,mtu anapo kutukana ujue anatarajia nawe utamtukana si ndio? Maana yake ni kwamba kwa kukutukana wewe anataka nae atukanwe ndio maana nikasema tupo addicted na kuumizwa

Tunaweza kuachana na hii cycle kwa kuto take things personal na kuwa watu wenye amani na furaha,,next time mtu akikutukana tabasamu kwakuwa sio tatizo lako linalo mfanya akutukane bali ni lake,,yaani yeye ndio mwenye shida zake na sio wewe

Ni hayo tu!
Ni point za muhumu kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza
 
Baada ya kugundua hilo mapema ndo maana sikuhizi hunikuti nikitukanana na watu humu jukwaani maana mwisho wa siku hawanijui siwajui...unaweza kutaka kuprove kwamba ur right in a wrong way.....
So umeongea ukweli....
Ilaaa kuna maneno kuyavumilia inabidi uwe na kiwango kidogo cha hormone ile inayoshughulika na mambo ya dharura....la sivyo kuvumilia ni ngumu...ila tujitahidi...
 
Back
Top Bottom