Au niache tu wakiniita nisiende? Nataka ku-cancel sitaki tena kujisumbuasumbua na kupoteza gharama za stationary, nauli, chakula, nk kisha nabakia mikono mitupu, wapi kuna button ya ku-cancel maombi?
Jengo la Mama na Mtoto – Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (Meta)
Jengo hili ni miongoni mwa majengo ya kisasa yaliyotekelezwa katika hospitali 7 za kanda nchini.
Ni ushahidi wa dhamira ya dhati...
Habari Wana jF nipo hapa nahitaji msaada na muongozo kwa anaefahamu nilijiandikisha NIDA ila kwa kipindi naandikisha nilifatilia nikawa napigwa kalenda ila baada ya kuhama mkoa nikajiandikisha...
Ndugu zangu Waislamu na Waumini wa Dini nyinginezo zote tuwe na Umoja na Upendo, Matendo maovu aliyofanyiwa Sheikh Njuki yasijirudie tena
Nguzo kuu ya kudhihirisha wema na utu pamoja na ukomavu...
Juni 1, 2025, baada ya mkutano wa hadhara Tanga Mjini, viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho bara John Heche, na Katibu Mkuu John...
Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo.
Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na...
Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king...
Majaribu 10 ya Waisraeli kwa Mungu tangu Misri hadi Kanaani
Musa ni nani katika safari kutoka Misri hadi Kanaani
Musa ni mtu mmoja maarufu zaidi katika Agano la Kale. Wakati Ibrahimu anaitwa...
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kikilalamikia misukosuko kinayokutana kwenye michakato ya uchaguzi Mkuu 2025 inayoendelea.
"Uchaguzi Mkuu 2025 umekithiri uonevu, mizengwe, na ubabaifu...
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na...
Mtangazaji: Kwako ni ushauri gani ukipewa unaona ushauri wa kifala?
Hanscana: Kuoa!
Mtangazaji: Kwa nini?
Hanscana: Mtu anakushauri uoe utafikiri ni lazima. Ukiuliza kwa nini nioe? Unaambiwa...
Kiongozi Yule mnafiki.
Alaumiwe kwa kuua upinzani nchini, alikuwa anajifanya mwanademokrasia lakini alikuwa mtu hatari.
Kupitia taarifa alizokuwa anavujisha yeye mwenyewe aliumiza wengi Sana.
Mwanaume ukiwa na pesa hata kama ni Mzee utakula chochote unachohitaji
Mwanaume ukiona unalazimika kujieleza sana na hata unapojieleza unaonekana kituko tu au unaonekana unaleta fujo kwenye...
Dunia kwasasa imepoteza wasomi na wanasayansi wengi wenye vipaji na akili za ziada kama mimi.
Kiufupi kila sehemu nikiona pameandikwa wanamume hufa mapema kuliko wanawake huwa nashusha...
Ifuatayo ndiyo orodha ya mikoa 10 bora ambayo :
Ambapo binafsi nimeipangilia kwa kuangalia
Upatikanaji wa chakula
Urahisi wa Usafiri
Elimu
Hali ya Hewa
Huduma za maji
Mitandao ya simu
Usalama...
Wahuni walijua kufungia twitter(X) ndio kukomesha wanaharakati na walijua hakuna watumiaji wengi.
Sijui hizi habari wanashauriwa na vilaza toka JF.
Sasa siasa imeamia instagram na facebook na...
Ni kwamba sasa washatuzarau kuonesha wanakula keki ya taifa na watala wa CCM mpaka kufikia steji ya kututukana.
Hivi kwa nini wananchi na mashabiki kuweka ajenda kuunfollow na kutosupport kazi zake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.