Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

BARUA YA WAZI KWA MKUU WA WILAYA YA TARIME Ndugu Mhariri, Sisi ni kati ya wanafunzi wa shule ya sekondari Mwera Vision iliyo katika wilaya ya Tarime. Tunachukua nafasi hii kuipongeza serikali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi karibuni pametokea majina yanayochanganya kidogo. Nilizoea kumwona MTOTO WA MKULIMA sasa naona kuna MTOT WA MKULIMA, vile vile nilimzoea MzalendoHalisi naona sasa kuna ZalendoHalisi. Hivi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
wOrM, naomba unipe tafsiri ya jina lako jipya la M+4nz4n|4 na jinsi ya kulitamka. Ahasnte :)
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Niko kwenye kijibaa kimoja mitaa ya uswahilini na scene ninayoishuhudia mbele yangu ni kama ndoto vile. Yupo dada mmoja amejipiga mkorogo wa kueleweka na kwa kumtazama taratibu umbo lake na sura-...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Doubts grow over Iranian boat threats · Pentagon climbdown over 'you will explode' video · Mystery remains over where voice came from Ed Pilkington New York Friday January 11...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sioni kwanini waliamua kulifanya hili swala la Balalli kujiuzulu siri. Muungwana angesema nimepokea barua ya kujiuzulu toka kwa Gavana wa BOT Ballali, lakini nimeikataa barua hiyi mpaka hapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima Mbele.Kuna Taarifa ambazo nimezipata kutoka kwa Afisa mmoja Mwandamizi wa Usalama,Kaniambia Ndugu yetu Daud Balali Amefariki Dunia.Nimejaribu kuwasiliana na Mzee Mwanakijiji kasema ataweka...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
ndugu wahusika. ninaomba tuangalie hii adhaa wanayopata wananchi wa wanaotumia vivuko kigamboni. kigamboni ni kati ya maeneo ya yanayokua kwa kasi sana katika nyanja za kibiashara,kilimo,utalii...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Posted Date::1/5/2008 Serikali bado yaiota Real Madrid Na Vicky Kimaro Mwananchi SERIKALI bado inaiota ziara ya vigogo wa Hispania, Real Madrid, ambao walialikwa mwaka jana kwa ajili ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Aided by video cameras mounted on buses, San Francisco has launched an initiative to punish drivers who illegally park in transit-only lanes. The goal is to clear traffic lanes for Muni buses...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ama kweli siri kali! Posted Date::1/8/2008 Vipi Ripoti ya Ukaguzi BoT ikabidhiwe kwa Rais kinyemela? Mwananchi JUZI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG), Ludovick Utouh...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nnalia sana na "The Obamas of Kenya still live as they have for decades, even though their most famous relative is in a hotly contested race to become the next president of the United States. "...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ikiwa nchi zote zilizoendelea zikiwa ziko mbioni ( baadhi tayari) kuondoka kwenye analog transmissions kwenda digital, Tanzania wana mpango gani? Na nini athari zake kwetu sisi ambao ni addicts wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanamke akifiwa mumewe ana haki zipi katika mali za mumewe (au mali walizochuma na mumewe)? Yeye huwa ni msimazi tu wa mirathi au ana haki ya mgao kama mali zitagawanywa? Je, kama akiolewa tena...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nimeshika Gazeti la Uhuru la leo, mbele yangu yapo pia magazeti mengine ya hapa nyumbani ikiwemo gazeti la serikali la habari leo. Ndani ya gazeti la CCM la uhuru kuna matangazo matano ya serikali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii dhana ya kuwa kila kitu kifanyike dar bila kuangalia strategic location nadhani ni matatizo ya kimaamuzi. Serikali inampango wa kujenga chuo kipya na cha kisasa cha utalii Dar. Mimi kwa moani...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wana jf nimepata fununu kutoka kwenye vyombo vyangu vya habari nimepata tetesi kuwa huenda mabadiliko ya cabinet yakawa jumatano ya wiki ianzayo kesho,kisha nikaendelea kudadisi nikaja kupata...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Tensions rise as US navy claims clash with Iran vessels · Pentagon says its warships were harassed on oil route · Incident coincides with nuclear chief's Tehran trip Dan Glaister in Los...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauliza hivi ni vipi thamani ya pesa inapanda,Je Tanzania tunaweza kuipandisha thamani ya shilingi na kukaribiana au kuipita dola ,kwa njia zipi ?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
how can a government be so incompetent kiasi cha kuamua kummaliza mwandishi wa habari kwa kummwagia mikojo ya punda usoni na mwingine kumkata na panga butu.How about mshale wa sumu?kwanza mshale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…