Siku hizi kumekuwa kuna tabia ya mtu ukitoka nje ukimuambia mtu kitu hata kama ni cha ukweli yeye ananga'ng'ania kubisha na kukuita mbeba box
unakuta unamuambia mtu kutokana na wewe umeona upande...
Hawa sio wasafiri, ni wafanyakazi wa Tazara wakiwa kwenye mgomo kama walivyokutwa kwa mbali na kamera jana 24/8/2009.
Hebu tusome habari kutoka gazeti la Mwananchi la leo 25/8/2009...
Majambazi NMB Temeke yanaswa
Yumo askari wa JWTZ kikosi cha Mgulani
na Sophia Maghembe
SIKU chache baada ya Jeshi la Polisi nchini kutangaza donge la sh milioni 5 kwa watakaofanikisha...
Jamani wanaJF, hasa mnaotumia mtandao huu wa Zain.
Leo kumetokea tena usumbufu ambao siupendi kabisa. Usumbufu uliotokea leo ni wakati kujaza vocha zao kwenye simu utakuta vocha haikubali badala...
Wana JF, kuna tume iliundwa na aliyekuwa Waziri Mkuu ndugu Lowasa kufuatilia uimara wa majengo (ujenzi wa kufuata taratibu za kihandisi) mara baada ya kuanguka kwa jengo kule Changómbe. Mbali ya...
Jana kwenye kituo cha Runinga cha Chanel 10 walirusha habari ikionyesha uchafuzi wa mazingira wa hali ya juu ambapo kuna kiwanda kimoja kimeruhusu sumu kutiririka kwenye bonde la Mto Msimbazi na...
While other telecom companies are busy reducing costs and tarrifs TTCL seems busy to burden its customers with unnecessary cost elements.
Case in point is that despite bidding and joining...
Wakati nchi ilipata dhoruba ya ukame, tuliagiza majenereta, makampuni mengi yanatumia jenereta wakati umeme unakatika
Pale DSM mjini kelele kila mtaaa; huu si ni uharibifu wa mazingira kwa maana...
Nilimsikia Naibu Waziri wa Elimu Mh Mwantumu Mahiza akiongea na wanafunzi wa ualimu kule Songea (source TBC Taifa jana jioni).
Aliulizwa kuhusu mishahara midogo wanayolipwa walimu. Alijibu kuwa...
Kero na karaha za nyumba za kupanga zimejidhirisha huko maeneo ya Mikocheni B baada ya mama mwenye nyumba kuvitoa vitu vyote vya mpangaji wake ambaye alikuwa safarini na kisha kuigeuza nyumba...
Hivi mtu unapochangia mada hapa jamii forum ama mahara pengine popote , ama mtu unapoamua kujiunga na chama fulani cha siasa ama, unapongombea nafasi ya uongozi katika chama chochote , unafanya...
Saturday, August 22, 2009 8:33 AM
Baba mmoja wa nchini Marekani ambaye alikuwa akimfundisha mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 13 kuendesha gari, amefariki baada...
Tume iliyoundwa na CCM kuchunguza mwenendo wa bunge sina imani nayo kabisa.
Mjumbe Msekwa alibwagwa na kutolewa uspika na Samweli sitta hivyo kisasi chake atalipiza kwenye ripoti ya hiyo...
Wajamani kutokana na hali ya mivutano katika mambo ya muungano ,kunaonekana kuna mivutano iliyowazi ambayo imefikia hadi viongozi wa juu wa serikali mbili zilizopo kurushiana maneno ya ubabe na...