Matakwa yangu ama familia yangu,chama ama jamii yangu, ujiko, utajiri ama taifa ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matakwa yangu ama familia yangu,chama ama jamii yangu, ujiko, utajiri ama taifa ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by munguatubariki, Aug 24, 2009.

 1. m

  munguatubariki Member

  #1
  Aug 24, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mtu unapochangia mada hapa jamii forum ama mahara pengine popote , ama mtu unapoamua kujiunga na chama fulani cha siasa ama, unapongombea nafasi ya uongozi katika chama chochote , unafanya hivyo kwa ajiri ya ubinafsi ,matakwa yako binafsi na familia yako, ushabiki wa siasa, ama sera za chama husika, unafanya kwa minaajiri yako mwenyewe kuwa maarufu ama nawewe kwamba utoke, au ni kwa ajiri ya, na sera za kimapinduzi zilizokuingia na kukuchoma moyoni na uhitaji wa mabadiliko, maendeleo na ukombozi wa watanzania walio katika dimbwi la umaskini uliotukuka ambao haupingiki hasa kwa wanchi wa Tanzania vijijini?
   
Loading...