Ripoti bado tu au kiini macho? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ripoti bado tu au kiini macho?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magehema, Aug 24, 2009.

 1. M

  Magehema JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2009
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 448
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wana JF, kuna tume iliundwa na aliyekuwa Waziri Mkuu ndugu Lowasa kufuatilia uimara wa majengo (ujenzi wa kufuata taratibu za kihandisi) mara baada ya kuanguka kwa jengo kule Changómbe. Mbali ya kuunda tume Mheshimiwa pia alimtimua Mhandisi wa Manispaa ya TMK. Ripoti yake vipi, bado haijatoka au ndo ilikuwa "sponging"?
   
 2. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ripoti bado ipo kapuni. watu walishachukua chao
   
 3. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  No no no, ripoti ipo tayari, tunasubiri wafadhili ili tuifanyie upembuzi yakinifu.Baada ya hapo Mh. Pinda ataunda TUME kupitia matokeo ya TUME ya Lowasa, kabla haijapelekwa bungeni kwenye KAMATI ya ujenzi ambayo itatoa mapendekezo kwa Spika, ambaye ataikabidhi kwa Mh. Pinda ambaye atawapa wataalam wa ofisi ya Waziri Mkuu kwa mapitio kisha kuikabidhi kwa Mh. Rais. Mh. Rais ataikabidhi kwa TAKUKURU kuangalia kama rushwa ilikuwepo katika utoaji wa vibali. TAKUKURU itaunda TUME ya uchunguzi ikisaidiwa na TUME ya uhandisi ya halmashauri ya jiji............ I love TZ.
   
 4. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,836
  Likes Received: 1,090
  Trophy Points: 280
  Ripoti nyingi tu zimetiwa kapuni kama zile
  1. Mabomu Mbagala
  2. Mapato ya Kituo cha Mabasi Ubungo
  3. Ajali ya Mhe. Mwakyembe
  4. Vinasasauti alivyowekewa Dr.Slaa
  nk
   
Loading...