Raisi Mwenye nguvu ndani ya serikali yake,Kikwete au Karume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi Mwenye nguvu ndani ya serikali yake,Kikwete au Karume

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwiba, Aug 23, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wajamani kutokana na hali ya mivutano katika mambo ya muungano ,kunaonekana kuna mivutano iliyowazi ambayo imefikia hadi viongozi wa juu wa serikali mbili zilizopo kurushiana maneno ya ubabe na hata kufikia baadhi ya viongozi kutoshiriki katika mikutano inayohusisha Chama na serikali zao.
  Kuna mvutano uliotokea Musoma ,ambapo genge la Kikwete liliendeshwa puta na kutishiwa ikiwa halitafuata matakwa ya serikali ya Karume Muungano utakuwa mwisho na juzi baadhi ya viongozi wa serikali ya Karume hawakushiriki katika mkutano wa NEC akiwemo Karume na Waziri wa Nishati aliesema wazi kuwa mafuta hayamo katika muungano ,na baada ya kuundwa kamati ya kushughulikia wananchama wakorofi wanaozua mijadala migumu ndani ya chama cha CCM ,Zanzibar wamesema hawatishwi na kamati hiyo na haitaweza kumfunga mtu mdomo.
  Inaonyesha Karume anawamiliki walio ndani ya serikali yake na Kikwete hana conrol yeyote ile ,je mnaonaje kwa hili ?
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kuna tetesi kuwa Karume kasikika akisema kuwa "sitaki upuuuzi wao siendi popote...." na Shamsi kenda kama mtuhumiwa na kutetea mradi wake wa 2010 tu.
   
Loading...