Mwandishi wa habari Nipashe Mbeya awekwa lupango

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
12.JPG

Mwandishi wa habari wa Nipashe Thobiasi Mwanakatwe akitoka lock up akiwa ameshika viatu vyake alikaa masaa 2 jana baada ya kupinga unyanyaswaji wa kaimu mkuu wa usalama barabarani Mbeya Henry Nguvumali

1.JPG

Thobias akizongwa zongwa na maafande

7.JPG

Hapa manjagu wakimkwida mwandishi wa Nipashe

9.JPG

Hapa Thobiasi akiwa tayari kupandishwa kwenye gofu kwa nguvu.
 
Jamaa alikumbwa na adhima hii baada ya kumtetea dereva wa daladala T578 AHS iliyokamatwa kwa madai kupita njia ambayo si yake.
 
Asante Mwanakatwe, wewe ni mwanaharakati wa ukweli, hakika unamoyo wam chuma, umenivutia sana, kama kila mwanaharakati angekua na moyo kama wako mambo yangekua mazuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom