Maafa Uganda

Mafuchila

JF-Expert Member
Apr 29, 2006
751
65
WanaJF,
Habari nilizozipata punde ni kuwa huko Uganda kuna maandamano makubwa ya Wabaganda kupinga Mfalme wao Mutebi kuzuiwa na serikali kutembelea maeneo ya waasi. Inasemekana maandamano hayo yamezaa vurugu kati ya waandamanaji na polisi, kupelekea watu 614 kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi na watu 15 kuuawa. Tukiwa kwenye mwezi mtukufu tuwakumbuke hawa ndugu kwenye sala zetu.
 
Watanganyika wayakusudie hayo. Kwani yameshatokea Kenya wakati wa uchaguzi ( yaani ukabila), Unguja na Pemba kwenye uchaguzi CCM na CUF ( yaani Uunguja na Upemba)

Sasa Tanganyika ianze kunyoa kwani UDINI umeanza kuitafuna. Ukianzia Kukataliwa kwa Waraka wa wakatoliki na hatua aliyoichukua Pengo kumsuta Kikwete hadharani mchana kweupeeeeee katika msiba wa Askofu wa jimbo la Mwanza.

Mungu inisuru tanganyika
 
Usisahau mambo ya shetani OIC na mahakama ya kadhia. Pia MWONGOZO wa Boko Haram usiache kuuataja, au vyenyewe sio udini?
 
.

Yote hayo yanaitafuna Tanganyika na kuna harufu kubwa sana ya vita vya UDINI kutokea.

Lakini kwa mtazamo wangu Pengo na waraka wao utazua jambo. Kwani kila aneupinga ni adui na lazima adhalilishwe na kukashifiwa na matusi kibao ya nguoni.
 
Nyie ndiyo wazushi na wachochezi. Unaweza ukataja matusi yaliyotukanwa na upande wowote kwenye mchakato wa waraka?
 
Tusiende mbaaaaali soma humu humu mada inayosema Kingunge aupinga waraka wa wakatoliki na soma mada inayosema kakobe aupinga waraka. Utaona wanajamii wa kikatoliki wanavyowashambulia watu hao.

sasa hapo sijasema kuhusu magazeti yanavyowashambulia kisa wameupinga waraka wa kanisa.

Hiyo ni hatari na inaweza zua vita kubwa ya kidini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom