The sweetness of swahili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The sweetness of swahili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Asubuhinjema, Nov 18, 2009.

 1. A

  Asubuhinjema Member

  #1
  Nov 18, 2009
  Joined: Sep 17, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikutambua utamu wa lugha yangu na kiasi inavyoweza kutuunganisha mpaka nilivyokuja kufanya kazi ughaibuni!

  Naona wa east africa wakenya, warundi, na waganda wanavyojaribu kutumia kiswahili kama kiunganishi katika jamii yetu ya wageni mbali na nyumbani!

  Long live the great mwalimu, whose greatness in terms of thinking knew language breaks barriers of all kinds!
   
 2. Z

  Zebaki Member

  #2
  Nov 19, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata wacongo(zaire) na wamalawi pia
   
Loading...