maeneo mengi dar hunywa na kwa cash, arusha huduma ni kwa bill na hakuna mizinga kwenye bill. Nadhani kunywa kwa bill ni ustaarabu. Dar wahuni wengi mpaka hamuaminiki?
arusha ninayoifahamu mimi c shwari hata kidogo.dar wahuni lakini peace arusha the gap btwn walionacho na maskini ni kubwa mno which in turns results into high criminal rate and more will come..................
Kuna mtu alilewa sana hadi akashindwa kusaini, yaani pen ikawa haishikiki. Wakati mwingine post paid inaweza ikawa inakula kwako kwani hakuna uhakika wa uhai wa mteja wako.kunywa kwa bill ndio mwake bwana,unakunywa mwishoni unasaini,mwisho wamwezi unalipa bill yako,wenyewe tunaita post paid