Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni sekta isiyovuma lakini yenye kipato cha kueleweka na vijana wengi wamejiajiri na wengine wamepata connection kupitia bustani za maua na maua Ua ni pambo la asili lenye kuburudisha, kutuliza...
6 Reactions
228 Replies
6K Views
Habari wajuzi naomba nijibiwe swali langu hili ? Je nikosa kumuua nyoka kama huyu kwenye sehemu ya mgodi ? Kama ni kosa je kwanini ?
0 Reactions
13 Replies
640 Views
Habarini, Kumekuwa na mgongano wa maslahi karibu kwenye kila famila ya kiafrika pale linapokuja swala la wazazi kuanza kumpeleka mtoto mdogo kuabudu dini fulani wakati mtoto hajui lolote na baadae...
13 Reactions
75 Replies
2K Views
Wachunguzi wanasema hivi: Both Upepo Energy and Astra Energy are early stage exploration companies in renewable energy. These guys at Upepo Energy are backed by a Venture Capital firm that...
0 Reactions
4 Replies
823 Views
Hata kama mtu ulimpenda Sana ila akifa Ile saa ya kumuwaga mpendwa wako unapita kwa speed yaani hata kukaa naye kwa ukaribu walahu dakika tano inashindikana. Ni hisia gani hizo za hofu...
8 Reactions
34 Replies
1K Views
Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu...
18 Reactions
76 Replies
2K Views
🌲 isio na asili ya kupendwa na popo 🌲 Isio na asili ya kupukutisha matawi/maua/mbegu kiholela mara kwa mara 🌲Isiwe prone kwa wadudu/pests 🌲Isiwe na mizizi ya kuharibu miundombinu katika...
3 Reactions
15 Replies
607 Views
  • Closed
Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mtuhumiwa Grayson Muze Msemo (miaka 55), Mkristo, Muinjilisti na mkazi wa Raskazoni Tanga, baada ya kupatikana na...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Aisee nimeshangazwa sana aisee inaonekana wamakonde ndilo kabila lenye exposure sana aisee kwa hapo Tanzania maana nimeona karibia kila nchi wapo yaani wamakonde nawafananisha na wanaijeria au...
5 Reactions
15 Replies
664 Views
Hapa naulizia swali tu Kwa hapa Ethiopia.
0 Reactions
4 Replies
438 Views
Nchi za Ulaya na Marekani ukisoma kuna uwezekano uanzie maisha huko huko, Ajira zipo kibao Unaenda kusoma China, India, Malaysia, Thailand, Indonesia, n.k. halafu hauna connection wakati wenyeji...
1 Reactions
4 Replies
425 Views
Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto...
0 Reactions
1 Replies
418 Views
Nimefika mjini Vladvostok juzi juzi nikakaa hotel inaitwa Napol, nikiwa katika mazungumzo ma dada mmoja kwa jina Elizabeth , anasema kuwa wao warusia hutuchukulia kama watu wasio seriouse kwenye...
17 Reactions
76 Replies
12K Views
Helloo mko njema hapa jamani? Nimepachoka Tanzania nikaamua nifanye michakato yangu kwenda Ukraine au nchi yeyote ya nje, Kwa bahati nzuri kuna kanisa moja limeniita nikalee wazee kwenye kituo...
1 Reactions
136 Replies
22K Views
Hello wakuu habari za siku mbili tatu, Jamani mimi ni kijana Mtanzania ambaye nimekulia Tanzania, nimesomea shule zote Tanzania mpaka elimu ya chuo kikuu. Kwa bahati mbaya sikumaliza mwaka wangu...
91 Reactions
285 Replies
51K Views
wadada kunengua viuno hadharani mbele ya umati wa watu katika maonesho ya nanenane jijini Mwanza ili wapewe vitenge ,T-shirt , na kofia za voda na cocacola inaonesha taswira mbovu ivi waume zao...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Taarifa zisizo rasmi ni kwamba baadhi ya ofisi za umma wameelekezwa kuanza kutumia Yas. Kwahiyo shirika letu la umma ambalo awamu ya 5 ilijitahidi kurirudisha kwenye ushindani sasa mambo ni...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Leo, jina lako lina-trend katika jukwaa lipi? La Siasa, la Habari na Hoja Mchanganyiko au International Forum? Ukitubu leo na kuamua kuokoka, jina lako lita-trend mbinguni. Na huko sio ku-trend...
8 Reactions
96 Replies
2K Views
Habari wanajf,Nipo hapa Dodoma ingawa mwenyewe ni mwenyeji wa Mbeya.Nimeishi hapa Dodoma kwa zaidi ya miaka kumi(10)na kubahatika kuoa mgogo,nimegundua kwamba wapo vizuri kwa jografia!Ukiwa mgeni...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu mnamkumbuka Mahita? Aliemzalisha House Girl halafu akakataa kuhudumia? Mbali na hiyo, siku hizi unakuta katoto kana miaka 11, 12 tayari ni kahouse girl hata kupika hakajui. Mataso...
4 Reactions
10 Replies
462 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…