Siku ya nne niko jijini Vladvostok nimeona mrembo anasema uthuchukulia wageni kama wenye mzaha kimapenzi

kyaibumba

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
715
989
Nimefika mjini Vladvostok juzi juzi nikakaa hotel inaitwa Napol, nikiwa katika mazungumzo ma dada mmoja kwa jina Elizabeth , anasema kuwa wao warusia hutuchukulia kama watu wasio seriouse kwenye mahusiano, hasa waafrika ni wababaishaji wanaotaka kulelewa,

Kwa kifupi kamji kao ni kazuri kamepakana na bahari pande zote isipokuwa kaskazini,
Kana milima safi inayovutia zamani China na Russia wamekuwa kwenye msuguano wa chini chini kuhusu hapa
IMG_20190617_110411.png

Huo ndo mgahawa wa Napoli

Nimekuta hakuna waafrika wengi, ila kwa fursa zinaonekana kuwapo sana.
Watu wanakazi za kufanya nyingi tu,
Nitamaliza Kilichonileta next week

kyaibumba
 
TUSISITE KUIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KUWEZESHA JAMBO HILO KUTOKEA.
huyo mrembo Elizabeth umeshindwaje kuandika jina lake la pili?? Halafu mwambie aache dharau na kama hukumbandua nafuta urafiki na wewe. MWAMBIE SISI WATU WEUSI HATUTAKAGI UJINGA.
 
Hahaha anakujaribu huyo wajanja kinoma ....Russia/ussr nadhani ndio nchi yenye wasichana warembo sana europe.Na hapo wasichana ni wengi kuliko wanaume.Kama unabisha fanya kiji-research kidogo.
Na jamaa zao huwa hawawaweki ipasavyo coz wanapiga sana mondende....24/7 wametinga
 
Back
Top Bottom