Nataka kwenda Ukraine nimepata mchongo, naomba ushauri kwa wanaopajua vizuri

kyaibumba

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
715
989
Helloo mko njema hapa jamani?

Nimepachoka Tanzania nikaamua nifanye michakato yangu kwenda Ukraine au nchi yeyote ya nje,

Kwa bahati nzuri kuna kanisa moja limeniita nikalee wazee kwenye kituo chao lipo Dnipropetrovisk
Lakin nawaza nasikia Ukraine ni wabaguzi Sana yan mpaka naogopa story nazopewa,

Kwa haraka haraka nimegundua kuna maeneo ni wabaguzi Sana na kuna maeneo afadhali Kwa kuishi, nauliza wakuu ni wapi pako powa kuishi hasa Kwa maeneo na unafuu wa maisha ndani ya Ukraine,

Pili je ni mazuri yapi ambayo nitayagain mimi nikiwa uko?

Nategemea kwenda mwezi wa 3 mwaka huu

Majibu plz

Je kuna mtanzania aishiye Ukraine?

UPDATED

Nimesharuka na kuoazoea Ukraine japo nilikuja Odessa Badala ya Dnipropetroviisk
Kwaheri Tanzania: Juma langu la Kwanza ndani ya Ukraine, Odessa
 
Tafuta nchi nyingine sio ukraine, wale jamaa wabaguzi sana kuanzia unapopanda ndege inayoenda kwao hawakai na ww siti moja full kupuliza airfresh siwapendi mbaya
Nchi nyingine ngumu kwenda nilipata Singapore lakin ishu ikawa work permit
 
Back
Top Bottom