Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku zote kabla ya kujifunza kuheshimu watu, jifunze kuheshimu maneno yanayotoka kinywani mwako. Manano yetu yanabeba hatima na msingi mkubwa wa maisha yetu. Watu wengi hufikiria kumchukiza mtu...
2 Reactions
5 Replies
305 Views
Mnamo Machi 2022, manowari ya Felicity Ace iliyokuwa imebeba magari ya kifahari tupu ilishika moto na kuzama karibu na Azores, na kupeleka maelfu ya magari hayo ya kifahari kuzama kwenye sakafu...
2 Reactions
3 Replies
324 Views
Mimi shabaki lialia wa Yanga sc ,nimefurahishwa sana na kitendo cha mashabiki wa makolo kukataa ukisabengo wa kisiasa katika mambo ya timu yao.. Mashabiki wa Simba sc hakika mtakumbukwa kwa...
2 Reactions
4 Replies
383 Views
Habari wakuu, Niko safarini kuelekea Bukoba Mjini naomba msaada wenu kwa wanaoijua Bukoba vizuri. Nauliza hotel au lodge nzuri kwa buget ya 30-50 ambapo chakula kizuri jirani kitapatikana pia...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dar Group wamepata ajira Serikalini baada ya mchakato kuchukua miaka kadhaa kabla ya kukamilika ambapo leo tarehe 10 Septemba 2025, wamepatiwa...
0 Reactions
1 Replies
297 Views
Wakuu, Yaani huyu jamaa bhana hata kujieleza hawezi. Amejikanyaga sana. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana inamshikilia Daktari feki anayejulikana kwa jina moja Mussa aliyetaka kuwatapeli Wagonjwa...
5 Reactions
68 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Mtu smart hawezi kutengeneza nucrea inayo weza kuuwa au kuanga miza watu hata yeye mwenyewe akiwemo na kuitunza ndani kwa lengo la kuja kuwa dhuru wengine na yeye mwenyewe...
3 Reactions
27 Replies
952 Views
Wengine huiita trichilia emetica. Changamoto za wadudu, matawi kudondoka, mbegu kudondoka, kuhifadhi popo, etc Karibuni
1 Reactions
0 Replies
258 Views
Mteja akiwekeza fedha zake kwenye Hati fungane ( security Bond) mkikubaliana ulipwe Kila baada ya mwezi faida,Kuna changamoto mbili. 1) Ukiweka kwenye account Yako ya UTT Hela hazionekani kwenye...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umelaani suala la Jeshi la Polisi kuwashikilia kwa zaidi ya saa 24 waandishi wawili wa habari mkoani Arusha bila kuwapa dhamana. Waandishi...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
App haifunguki Simu hampokei Wengine hatupo karibu na na hio mikoa yenye ofisi zenu, sasa tufanyeje? Mnakuwa utafikiri ofisi kinda wakati mna experience ya muda mrefu.
2 Reactions
5 Replies
539 Views
Kwa vilio navyovisikia ng'ambo nawaonea huruma sana ambao walikuwa hawatunzi statement, Rule number 1, ukisikia benki imetoa tangazo la kukaribia kufanya marekebisho hakikisha umedownload...
8 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari za muda huu wana JF. Kumekuwa na mtizamo kuhusu Taifa la Israel watu wakisema ni Taifa la Mungu yaani limeshindikana ulianzishwa nao vita hautashinda sawa unashindana na Mungu ,baadhi ya...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama unataka kujenga (nyumba yako) nyumbani ulikozaliwa tofauti na unapofanya kazi kwa kutegemea usimamizi wa ndugu zako hakikisha una moyo wa uvumilivu. Kumpa ndugu yako cheo cha usimamizi wa...
4 Reactions
5 Replies
625 Views
Nazimisi sana nyakati ambazo sikujua mengi kuhusu Tanzania, nilikuwa mwenye furaha lakini kadri navyozidi kuona mengi, nina machungu na majonzi
1 Reactions
2 Replies
205 Views
Anaitwa Cherehani ni Mfanyabiashara pekee wa Kuuza Mihogo katika Soko la Kawe na maarufu pia. Tukio Mfanyabiashara huyu Bwana Cherehani wa Soko la Kawe alipanga njama kwa Kushirikiana na Mkewe...
24 Reactions
169 Replies
13K Views
Kuna saa maelezo ya unayemdai huwa kama kelele tu huelewi anachosema. Yaani utakuta kashapitiliza kabisa muda wa halafu kama analeta stori hivi. Huwa sio vibaya kuwa hivyo maana usipokaza kwa...
1 Reactions
4 Replies
494 Views
Zaidi ya milioni siioni kwenye akaunti yangu ya CRDB. Mdau kagua na wewe salio lako usije ukawa upo hujui kinachoendelea. Kesho pakikucha tu natia mguu hapo Holland branch…
12 Reactions
51 Replies
3K Views
Kashafa nyingi za wahuni na ufisadi pesa nyingi zipo hiyo benk. Sasa baada ya kuona taarifa zao zinavuja sasa wameamua kuchukua pesa zao wapeleke wanapojua kama ni majumbani, ulaya au benk...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa...
8 Reactions
86 Replies
5K Views
Back
Top Bottom