Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

mamlaka ya mawasiliano TCRA imeongeza muda wa kusajili line za simu hadi 30 juni 2010, wale waliokuwa wanatuchukulia pesa zetu kisa eti ugumu wa kusajili wameula wa chuya.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tumekuwa ni mabingwa wa kuwa na ndoto, tunaota ndoto nyingi za maendeleo, nataka kufungua mradi wa shamba, nataka nianzishe biashara ya bajaj, nataka nijenge nyumba, nataka, nataka nataka hatuweki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani nimekuwa nikisoma magazeti na makala mbalimbali hapa Jamii Forums, lakini cha kushangaza ni hili jimbo la uchaguzi la Kyela, sijui kwa nini limekuwa likiongelewa sana kuliko majimbo mengine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
IMEDAIWA kuwa ndani ya miezi mitatu kati ya Julai hadi Septemba mwaka huu watu wapatao 4072 wameambukizwa virusi vya ukimwi katika Manispaa ya Kionodnoni jijini Dar es Salaam Hayo yalijulikana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, nashukuru mungu nimerudi mjini baada ya katripu kafupi... nimeimiss sana JF hasa kwa kukosa habari nzito na nyepesi na pia hoja nzito na nyepesi na vimbwanga vyote kwenye majukwaa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ifuatayo ni orodha ya Watanzania ambao wanaeneza na kupandikiza ukabila,udini,ufisadi,imani potofu, uongo,chuki,vitisho,ukanda,uzandiki,n.k....wameingia hapa kutokana na maneno,mitazamo,au...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wiki iliyopita niliwajulisha kuwa babu seya amekata rufaa, baadhi walinipinga kuwa ni habari za udaku na wengine wakanitaka niwape source, Niliwajibu kuwa ni habari za ukweli na source ni mimi...
0 Reactions
103 Replies
12K Views
Jamani nadhani ilikuwa ni Christmass Njema na Wengi mtakuwa mlijumuika na Familia katika kusherehekea kumbukumbu za kuzaliwa Bwana na Mwokozi wa wengi Yesu Krsto. Kwa wale ambao kwa namna moja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Church on the defensive over Father Kizito saga By Lucianne LimoThe Catholic Church...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Most of the African countries and Muslim majority countries rulers are puppet rulers of the West and traitors to their own people. These traitors work like toilet paper rolls or tissue paper...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Inasikitisha sana pale unapoona mtangazaji wa kituo cha luninga akitangaza mpira huku akielemea upande mmoja.Hii ilitokea pale juzi kati ya mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga.Kweli nimeamini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kutoka wikipedia; historia na habari za jiji letu kuu Dar es Salaam (Arabic: دار السلام‎ [translation: "house of Peace"] Dār...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Why Tanganyika's they turn blind eyes? http://www.youtube.com/watch?v=QZ8vRS_FTWM I say !!ndugu sadaka huanza nyumbani ,hawa wajamaa wanahitajia msada wenu ,wao hawaioni hiyo itwayo Bongo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyeti zinazoza kwamba rais wa jamhuri wa muungano wa tanzania luteni kanali mstaafu daktari jakaya mrisho kikwete hana mpango wa kuchukua fomu kugombea kipindi cha pili cha urais wa awamu ya nne...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nafikiri ni jambo jema kwa NGOs na Wanaharakati wetu sasa kujiunga kwenye mapambano dhidi ya Ufisadi. Nafikiri jamii pia inaguswa zaidi na Ufisadi kwa njia moja au nyingine kama inavyoguswa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Do not vote for corrupt people, Tanzanians told By The guardian team 26th December 2009 The Anglican Church head Dr Valentino Mokiwa As the world marked Christmas Day...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zebu, natafuta memory card reader, nisaidieni duka gani hapa mjini dar naweza kupata
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SIRI ZA ZITTO NJE Mawasiliano yake yanaswa Aponzwa na mwandishi wa habari Na SaedKubenea SIRI kubwa kuhusu mwenendo wa Zitto Kabwe (Mb) ndani ya chama chake zimeanikwa mitaani na zinaweza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
US plane suspect 'a London student' An al Qaida-linked suspect who allegedly tried to blow up a transatlantic plane is studying at a UK university, it has been reported. The Nigerian is accused...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Abiria 200 watapeliwa Ubungo, walikata tikiti za mabasi yasiyokuwepoMinael Msuya na Victoria Kombe ABIRIA wapatao 200 waliotaka kusafiri kati ya Dar es Salaam na Mwanza, wamejikuta katika wakati...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…