heheheheh!mamlaka ya mawasiliano TCRA imeongeza muda wa kusajili line za simu hadi 30 juni 2010, wale waliokuwa wanatuchukulia pesa zetu kisa eti ugumu wa kusajili wameula wa chuya.
ghafla ile misururu ya wanaosajili itayeyuka halafu itarudi tena kuanzia Juni 20 2010. Yangu machomamlaka ya mawasiliano TCRA imeongeza muda wa kusajili line za simu hadi 30 juni 2010, wale waliokuwa wanatuchukulia pesa zetu kisa eti ugumu wa kusajili wameula wa chuya.
haaaaa,mamlaka ya mawasiliano TCRA imeongeza muda wa kusajili line za simu hadi 30 juni 2010, wale waliokuwa wanatuchukulia pesa zetu kisa eti ugumu wa kusajili wameula wa chuya.
Mbona mimi niliye waletea habari hii hamnipi ongera, mnapongeza TCRA tuuuuuuuuuu???!!!
mbona mimi niliye waletea habari hii hamnipi ongera, mnapongeza tcra tuuuuuuuuuu???!!!
safi!Tenda wema uende zako...!
TCRA kwa hisani ya KAITABA.s o u r c e?
Jibu murua sana hiloTenda wema uende zako...!
Mzee wa uwanja,,,Zimethibitishwa hizi habari!!??mamlaka ya mawasiliano TCRA imeongeza muda wa kusajili line za simu hadi 30 juni 2010, wale waliokuwa wanatuchukulia pesa zetu kisa eti ugumu wa kusajili wameula wa chuya.