Tarishi
Senior Member
- May 9, 2008
- 120
- 158
Nyeti zinazoza kwamba rais wa jamhuri wa muungano wa tanzania luteni kanali mstaafu daktari jakaya mrisho kikwete hana mpango wa kuchukua fomu kugombea kipindi cha pili cha urais wa awamu ya nne.
Inasemekana uamuzi huo unakuja kwa mambo mawili makuu.
1. Yeye ndoto yake toka utotoni ilikuwa kuja kuwa rais wa nchi. Ndoto yake imetimia na hana haja ya kuirudia.
2. Watu wamekuwa wakimsakama kuwa kashindwa kazi na nchi haina dira, wakati kafanya mengi tu ambayo wanaombeza na kumchukia huminya kuyatangaza. Mfano ukusanyaji mkubwa wa kodi kuliko awamu yoyote ile, kuwezesha na kuruhusu uhuru wa kutoa na kupokea habari bila hiyana, kuthubutu kugusa kwa vitendo mambo ya ufisadi na rushwa na mambo mengine kibao, lakini watu wanakalia kumsakama hivyo kaamua kususa.
Swali? Kama ni kweli ni nani atachukua nafasi yake???
Orodha ni ndefu ila tujaribu kuangalia haya.
1. Mizengo kayanga pinda
2. Hussein mwinyi
3. Edward lowassa
4. Frederick sumaye
5. Dr. Salim ahmed salim
6. Dr. Emmanuel nchimbi
7. Benjamin mkapa (usishangae, katiba inamruhusu)
8. Alhaj ali hassan mwinyi (kama mkapa)
9. Dr. Batilda burian
10. Dr. Asha-rose migiro