Orodha ni Ndefu:...

Orodha ni Ndefu:...

Mdau

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Posts
1,789
Reaction score
477
Ifuatayo ni orodha ya Watanzania ambao wanaeneza na kupandikiza ukabila,udini,ufisadi,imani potofu, uongo,chuki,vitisho,ukanda,uzandiki,n.k....wameingia hapa kutokana na maneno,mitazamo,au michango yao katika mada au matukio mbalimbali katika miaka ya karibuni,hasa wakati wa utawala huu wa JK..the list is not exhaustive, unaweza kuongeza wa kwako pia........

1. Makwaia wa Kuhenga, from Je Tutafika? CHANNEL TEN

2. Game Theory, member of JAMII FORUMS

3. Reginald Mengi, Mwenyekiti wa IPP

4. Seif Sharrif Hamad, Katibu Mkuu CUF

5. Dr. Wilbroad Slaa, Katibu Mkuu CHADEMA

6. Yusuph Makamba, Katibu Mkuu CCM

7. Sheikh Yahya, Mnajimu maarufu

8. Salva Rweyemamu, Msemaji Ikulu
 
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuu............
Aiseeeeee....
 
Kama ni kweli.....
Then tutakuwa kama nigeria very soon.
 
Ifuatayo ni orodha ya Watanzania ambao wanaeneza na kupandikiza ukabila,udini,ufisadi,imani potofu, uongo,chuki,vitisho,ukanda,uzandiki,n.k....wameingia hapa kutokana na maneno,mitazamo,au michango yao katika mada au matukio mbalimbali katika miaka ya karibuni,hasa wakati wa utawala huu wa JK..the list is not exhaustive, unaweza kuongeza wa kwako pia........

1. Makwaia wa Kuhenga, from Je Tutafika? CHANNEL TEN

2. Game Theory, member of JAMII FORUMS

3. Reginald Mengi, Mwenyekiti wa IPP

4. Seif Sharrif Hamad, Katibu Mkuu CUF

5. Dr. Wilbroad Slaa, Katibu Mkuu CHADEMA

6. Yusuph Makamba, Katibu Mkuu CCM

7. Sheikh Yahya, Mnajimu maarufu

8. Salva Rweyemamu, Msemaji Ikulu

Wameingia hapa wapi?...Jamii Forums?..embu weka sawa hapa kwanza ili tuchangie vizuri
 
Wameingia hapa wapi?...Jamii Forums?..embu weka sawa hapa kwanza ili tuchangie vizuri

wameingia hapa Jamvini JF,ambapo wewe kama mdau unapaswa kuongeza mwingine au wengine kwenye hii orodha..........
 
ifuatayo ni orodha ya watanzania ambao wanaeneza na kupandikiza ukabila,udini,ufisadi,imani potofu, uongo,chuki,vitisho,ukanda,uzandiki,n.k....wameingia hapa kutokana na maneno,mitazamo,au michango yao katika mada au matukio mbalimbali katika miaka ya karibuni,hasa wakati wa utawala huu wa jk..the list is not exhaustive, unaweza kuongeza wa kwako pia........

1. Makwaia wa kuhenga, from je tutafika? Channel ten

2. Game theory, member of jamii forums

3. Reginald mengi, mwenyekiti wa ipp

4. Seif sharrif hamad, katibu mkuu cuf

5. Dr. Wilbroad slaa, katibu mkuu chadema

6. Yusuph makamba, katibu mkuu ccm

7. Sheikh yahya, mnajimu maarufu

8. Salva rweyemamu, msemaji ikulu
please,justfy!.....
 
Jamiiforums tumeishiwa,tukubali tukatae,tuendako sasa ni kubaya. Mtu anakuja tu na majina yake tuhuma kibao bila justification anaachwa tu.
 
kabla sijachangia zaidi naomba kuelimishwa... yaani ina maana hawa wote kwenye hio list ni memba wa JF ambao kuchangia kwao humu jamvini kuna chochea udini au??
 
Mwingine ni wewe mwenyewe unayejiita Mdau.
Hii thread naona imekaa ki shari shari zaidi ya kusudio lake at least ungeiweka wazi(open thread) kuliko kuifunga kwa majina.
Thread nyingine hazifai hata kuwepo humu JF mtu huwezi kuamka na kuanza kutaja majina ya watu bila kuwa na ushahidi.
Mfano mimi nimekutaja wewe Mdau wana JF watataka kujua kwanini Mdau na si Facts?
 
Back
Top Bottom