Watangazaji wa Star Tv hacheni ushabiki kazini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watangazaji wa Star Tv hacheni ushabiki kazini.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pengo, Dec 26, 2009.

 1. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2009
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha sana pale unapoona mtangazaji wa kituo cha luninga akitangaza mpira huku akielemea upande mmoja.Hii ilitokea pale juzi kati ya mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga.Kweli nimeamini waandishi wengi wa habari wa Tz ni mbumbumbu wa taaluma,inatia aibu kumsikia mtangazaji akisema’Mimi mwenyewe nimemwona Musa Mgosi akipigwa kichwa pale katika goli la Yanga’ wakati wengi walikuwa uwanjani na hata sisi tuliokuwa tunatazama luninga hatukuona kichwa alichopigwa Mgosi.

  Angalia hata katika kuwataja wachejazi wanapochukua mpira utasikia ‘huyo Haruna bwana anakwenda Sweden wewe Nadir wa Zanzibar utamweza?!’Na mambo mengi ya kuegemea upande fulani kama afanyavyo mtangazaji maarufu wa TBC.Huo ni ujinga.

  Nawashauri nyie watangazaji wa Star TV fanyeni kazi acheni ushabiki mkiwa kazini itawaharibia sifa zenu,au nanyi nendeni mkajiunge muwe viongozi wa hizo timu kama wenzenu Sendeu na Ndimbo.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 3. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana matatizo; hata kipindi chao cha asubuhi ambacho huwa na mada tofauti; ni Pro-serikali wakati ni independent House media; oogghh sorry kweli ni chombo cha Dailo mwenye rangi ya kijani; du basi ndio maana lakini je waandishi hawana personality zao wanapresent personality za wamiliki; Mbona Mengi/IPP waandishi wako free; mwananchi akipiga simu na kuponda serikali simu mpaka huwa zinakatwa; inauzi sana mpaka huwa nahamisha kabisa kwenda TV zingine
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Mengi waandishi wako free?
  Mengi yupi?
  Muulize sakina datoo.
   
 5. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ee bwana mkuu nakuunga mkono mia kwa mia.
  Ila mi naongezea hapo kdogo.

  Utangazaji wenyewe wa mpira ulikua ukiwashinda. Yaani watangazaji kwa kweli walikua hawana ile flow ktk utangazaji wao. Na kila mara walikua wakikosea au kuchukua muda kutaja majina ya wachezaji.
  Mi nafikir hawa wa2 wanahitaji msasa ktk hili.
  Hawawaoni wenzao watangazaji wa ligi ya uingereza kupitia tvs kama supersport. Huwa napata raha kuwaskilza hawa jamaa na volume ya tv napenda iwe maxmum coz unapata utam wa mpira kama vile uko uwanjan.

  Ila kuna mambo mawili nawafagilia Star tv.
  La kwanza ni yale ma slow mo yao babake. Tulikua tuna-lack hiki ki2 kwa muda kutoka ktk tv ze2 za bongo.
  La pili ile mech ya sofapaka na taska walikua wakitoa dondodondooo za mchezaji mmojammoja. Wapi anafanya kazi pamoja na kucheza soca. Club gani ametokea. nk. Hii inaonesha wanajishughulsha @ least kwa kufanya maandaliz kabla ya mechi.
  Asan-10
   
 6. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Star TV wanahitaji watu wa kuwatangazia mpira inatia aibu na kinyaa kwanza wanakuwa kama mka100 kwa kushindwa kuficha mapenzi yao ili hali by proffesional wameonekana ni wakuokoteza na si watangazaji wa OB kwanza kitendo cha kutangaza,Anakwenda pale nanniii anampa naniniiiiiii hatari pale havipaswi kuwepo unapotangaza katika TV maana wanaona hao unaowatangazia please Mheshimiwa Diallo tafuta watu walioenda shule wakasomea kazi hii si kuokoteza wanashusha hadhi ya TV yako hawa vijana uliwaokotea wapi au ndio mambo ya cheap lebour? Waache upenzi na Ushabiki other wise wakaajiriwe na vilabu wanvyovipenda mwisho huyo chilala arudi akatangaze mpira wa Radio na mwenzake akatangeze Ujinga hatutaki sio mnashindana kutafuta haki ya kutangaza mashindano ili hali watu wa kufanikisha kazi hii ni 0%
   
 7. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Star TV wanahitaji watu wa kuwatangazia mpira inatia aibu na kinyaa kwanza wanakuwa kama mka100 kwa kushindwa kuficha mapenzi yao ili hali by proffesional wameonekana ni wakuokoteza na si watangazaji wa OB kwanza kitendo cha kutangaza,Anakwenda pale nanniii anampa naniniiiiiii hatari pale havipaswi kuwepo unapotangaza katika TV maana wanaona hao unaowatangazia please Mheshimiwa Diallo tafuta watu walioenda shule wakasomea kazi hii si kuokoteza wanashusha hadhi ya TV yako hawa vijana uliwaokotea wapi au ndio mambo ya cheap lebour? Waache upenzi na Ushabiki other wise wakaajiriwe na vilabu wanvyovipenda mwisho huyo chilala arudi akatangaze mpira wa Radio na mwenzake akatangeze Ujinga hatutaki sio mnashindana kutafuta haki ya kutangaza mashindano ili hali watu wa kufanikisha kazi hii ni 0%
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Dec 28, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hivi yuko wapi huyu jamaa, sijamsikia muda mrefu!
   
 9. M

  Magezi JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kila kitu kina mwanzo kwanza STAR TV wanastahili pongezi kwa kujitahidi kuwa wabunifu. I am sure with time they will change.

  Halafu utangazaji wa mpira ktk TV huwezi kutangaza kama redio kwani watu wanakuwa wanaona live unacho fanya ni kuelezea zaidi mchezaji mmmoja mmoja na kuweka manjonjo pale inapotokea hatari ktk goli fulani.

  Naomani STAR TV wanajitahidi na waongeze bidii?
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  naona washabiki wa simba IMEWATACHI KWELI KWELI!poleni
   
Loading...