Wito NGO's, Wanaharakati kupambana na Ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wito NGO's, Wanaharakati kupambana na Ufisadi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Facts1, Dec 27, 2009.

 1. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2009
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nafikiri ni jambo jema kwa NGOs na Wanaharakati wetu sasa kujiunga kwenye mapambano dhidi ya Ufisadi. Nafikiri jamii pia inaguswa zaidi na Ufisadi kwa njia moja au nyingine kama inavyoguswa na masuala ya ukeketaji, mauaji ya albino,masuala ya jinsia ,Ukimwi nk.
  Ukiangalia NGO zetu nyingi na wanaharakati wetu wengi wamejikita kwenye masuala ya ukimwi na watoto yatima na kusahau kuwa Ufisadi na rushwa ndiyo msingi mkuu wa matatizo hayo, sitaki kusema kuwa wanafanya hivyo kwa sababu ya masilahi yao,hapana.
  Tukiondoa ufisadi katika mahakama zetu katika wizara zetu, mabenki yetu nk, haki katika jinsia tunayoitafuta itapatikana,mauaji ya albino yatapungua kama siyo kwisha kabisa kwa maana yanasababishwa na kipato kidogo cha watu.
  Kwa hiyo RAI kwa wanaharakati wetu kama akina Ananilea Nkya, Tamwa nk wageuke tuwe tunasikia angalau wamefungua kesi kwa fisadi fulani na siyo kuwaachia wanasiasa kazi ya kupambana na mafisadi papa.
  Naomba mwenye mawazo zaidi kwa hoja hii.
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ngudu yangu, huko kwenye NGOs kuna ufisadi pia... sema tu kwasababu ya budgets zao na NGO nyingi ziliundwa kimtindo then we dont hear much about them

  Si za afya, sheria, elimu, kilimo nk.... kuna madudu huko pia mazee, i wouldnt expect much from them
   
Loading...