It was a nyc x-mass

It was a nyc x-mass

Albedo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,558
Reaction score
1,462
Jamani nadhani ilikuwa ni Christmass Njema na Wengi mtakuwa mlijumuika na Familia katika kusherehekea kumbukumbu za kuzaliwa Bwana na Mwokozi wa wengi Yesu Krsto.

Kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine hawakuweza kusherehekea sikukuu hii pamoja na ndugu zao nawatia moyo maana mtoto Yesu amezaliwa Sehemu zote, Magerezani, Mahospitalini nk.

Kwa kweli Nilifurahia sana na kutafakari habari za Kuzaliwa huyu mtu aliyeitwa Emanuel ( Mungu pamoja nasi)

"Zanena, Sikukuu
Kengele, za Juu
Waumini furahini
Mukombozi mkumbusheni
Mzawa leo Betlehem
Mzawa leo Betlehem."


Tutafakari Pamoja
 
it was nice men!
niliisherehekea ''just in-doors",na niliinjoi sana

HOSSIANA HOSSIANA HOSSIANA!
HOSSIANA MWANA WA DAUDI
 
Back
Top Bottom