Tumekosa ndoto endelevu

Tumekosa ndoto endelevu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,515
Reaction score
167,172
Tumekuwa ni mabingwa wa kuwa na ndoto,
tunaota ndoto nyingi za maendeleo,
nataka kufungua mradi wa shamba, nataka nianzishe biashara ya bajaj,
nataka nijenge nyumba,
nataka, nataka nataka hatuweki nataka zetu kuwa halisi.
Ndugu wana jamii wenzangu,
mwaka 2010 tufanye mapinduzi ya fikra,
mwaka 2010 uwe mwaka wa kuzitimiza ndoto zetu ndipo tutafanikiwa.
Tukiendelea kuota bila kuzifanyia kazi ndoto zetu tutaula wa chuya
 
Back
Top Bottom