Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,798
Jamani nimekuwa nikisoma magazeti na makala mbalimbali hapa Jamii Forums,
lakini cha kushangaza ni hili jimbo la uchaguzi la Kyela, sijui kwa nini limekuwa likiongelewa sana kuliko majimbo mengine yoyote hapa nchini Tanzania.
Najiuliza, mbona kwenye vita ya ufisadi sio Mwakyembe tu ambaye yuko mstari wa mbele, wapo wabunge wengi sana, lakini majimbo yao hayajawa gumzo.
Kama ni hela za Mwakalinga, mbona wenye hela wapo wengi sana wanawania ubunge lakini majimbo yao hayajawa gumzo?
sasa kwanini kila siku Kyela ndio inazungumziwa zaidi?/
kunanipale , naomba mnijulishe na mimi ili nipate kujua siri ya Kyela kuwa midomoni mwa watu usiku na mchana.