Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

UGONJWA wa kuhara ambao umeripotiwa kuwa wa pili kuwakumba Watanzania wengi baada ya Malaria huenda ukaendelea kuwatesa Watanzania wengi iwapo utaratibu wa kunawa mikono kabla ya kuandaa chakula...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana nilikua pale mlimani city sasa nilikua nataka kununua kitu fulani lakini nilikua na upungufu wa pesa, sasa kwa sababu eneo hilo lina ATM nikaamua kwenda kwenye hii bank ya makabweli lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jina la "Guantanamo" limevunja ndoa ya miaka 17 Tuesday, October 20, 2009 2:23 AM Ndoa ya miaka 17 imevunjika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wanaojua maandiko, naomba msaada wenu Inakuwaje Yesu acholwe akiwa wa kizungu, lakini shetani anachorwa akiwa wa kizungu? Je huu sio udhalilishaji kwetu waafrika?
0 Reactions
11 Replies
9K Views
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema mgao wa umeme ulionaza huko Tanzania Bara hautovikumba visiwa vya Zanzibar kwa kuwa wao ni walipaji wazuri huduma hiyo. Naibu Waziri wa Maji, Ujenzi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakulu ni muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa takwimU zinasema kuwa idadi ya wanawake ni wengi kuliko ile ya wanaume wanaoshi dunia kwa muda wote! Mbaya zaidi nikasikia kuwa kwa siku za hivi...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
Nasikitika kuwatangazia kuwa meneja wa uwanja wa taifa amefariki, Meneja huyo ni ndugu Masanja, amefariki leo kwa ajari baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba, Marehemu Massanja jana alikuwa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hivi nini kitatokea pale chanjo ya UKIMWI itakapothibitika kuwa inafanya kazi?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Sijui kama ni mimi peke yangu ndo nakereka na hii tabia ya ofisi za serikali na oftisi zingine nyingi zenye simu za landline unapopiga hazipokelewi, yaani ni masaa ya kazi unapiga simu inaita wee...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanzania tunazo nguzo nyingi za simu zilizojengwa na makampuni ya simu lakini suala na madhara yake halijawekwa bayana wakati tunavyo vyombo husika kama TCRA. Inashangaza na kuona kwamba wananchi...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Encouraging results for Swedish HIV vaccine A Swedish HIV vaccine, Hivis, has shown the best preliminary results the world has seen so far, according to experts. “These are the best...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Hivi hili tatizo la umeme liemeanza lini Tanzania? Mwaka huu 2009? 2008? 2000? 1995? 1990? 1985? 1980? 1975? 1970? 1965? 1960? 1955? Nauliza kwa sababu huu mjadala unavyojadiliwa unanipa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Who Said Car Names Don't Have A Meaning? FIAT-FAILURE IN ITALY AUTOMOTIVE TECHNOLOGY FORD-FOR ONLY ROUGH DRIVERS HYUDAI-HOPE YOU UNDERSTAND NOTHING’S DRIVABLE AND INEXPENSIVE VOLVO-VERY ODD...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hostilities evident in Muslim area where missionaries were slain. NAIROBI, Kenya, September 29 2009(CDN) — When a young Muslim woman in northern Uganda heard about Jesus in February 2005 and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukiangalia hii picha ndo utajua kwa nini ajali Tanzania hazitaisha. Hii picha inaonyesha basi liki-overtake lori kwenye mlima na hapa ni maeneo ya karibu na chalinze ukitokea morogoro.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
The Power Of Positive Thinking Positive thinking is a mental attitude that determines how we look at things around us and what things are attracted to us. It is a mental attitude that expects...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
MTOTO wa aliyekuwa Waziri wa Kilimo Bw. Charles Keenja, Bi. Aghata Keenja ameburutwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na makosa ya kukutwa na dawa za kulenvya kinyume cha sheria...
0 Reactions
55 Replies
11K Views
NImesikitshwa sana na sikuamni macho yangu kuona 'takataka' za udini kuandikwa katika gazeti la Majira la Jumamosi tarehe 17.10.2009 ukurasa wa mbele siku tatu tu baada ya kumbukumbu ya baba wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
http://www.youtube.com/watch?v=nPRurJMd9wY
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Swedish study finds body temperature best taken from behind Published: 15 Oct 09 13:59 CET A Swedish study has shown that inserting a thermometer into a patient’s mouth or ear is not the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…