Idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume?

Kaka Mkubwa

Senior Member
Joined
Oct 10, 2008
Posts
154
Reaction score
10
Wakulu ni muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa takwimU zinasema kuwa idadi ya wanawake ni wengi kuliko ile ya wanaume wanaoshi dunia kwa muda wote!
Mbaya zaidi nikasikia kuwa kwa siku za hivi karibuni hali hiyo imebadilika na kuwa wanaume ndiyo wengi zaidi!

Leo hii naomba nipate maoni yenu juu ya hili hapa jamvini...nawaaaminia sana NA NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU ZA DHATI.
 
wanawake ni wengi mno, yani kwa mahesabu ya harakaharaka duniani mwanamme mmoja anamiliki wanawake watatu!
 
Kwani unadhani Mwanamke mmoja ana wanaume wangapi? Isiwe kwavile wao wanajificha kwakuwa kwao kuwa na wanaume wengi ni aibu zaidi? Mimi nafahamu kuwa wanawake nao wanawanaume wengi tu, hasa hawa mabinti wakisasa yani hawajatulia kabisaaaaaa!!!!!!!!!
 
This is over exaggeration. look the figures below

Sex ratio: at birth: 1.07 male(s)/female
under 15 years: 1.06 male(s)/female
15-64 years: 1.02 male(s)/female
65 years and over: 0.78 male(s)/female
total population: 1.01 male(s)/female (2009 est.)

Definition: This entry includes the number of males for each female in five age groups - at birth, under 15 years, 15-64 years, 65 years and over, and for the total population. Sex ratio at birth has recently emerged as an indicator of certain kinds of sex discrimination in some countries. For instance, high sex ratios at birth in some Asian countries are now attributed to sex-selective abortion and infanticide due to a strong preference for sons. This will affect future marriage patterns and fertility patterns. Eventually, it could cause unrest among young adult males who are unable to find partners.

Source: CIA World Factbook - Unless otherwise noted, information in this page is accurate as of September 17, 2009

source http://www.indexmundi.com/world/sex_ratio.html
 
Baada ya kupata jibu sahihi ungependa kuongeza au kupunguza wanawake ulionao kutegemea na jibu utakalokubaliana nalo........?????
 
Enheeeee haya ndiyo niliyokuwa nayataka. Bravo mkulu.
 
Baada ya kupata jibu sahihi ungependa kuongeza au kupunguza wanawake ulionao kutegemea na jibu utakalokubaliana nalo........?????

Nita-Balance kulingana ratio itakayokuwepo kwenye jibu ndugu.
 
1. Hivi mbona nchi za Kiislamu mwanamme mmoja huoa wake hata wanne..na bado akina mama wengine wanabaki?

2. Halafu basi- akina mama kuishi miaka mingi (2-8)..zaidi ya kina baba!
 
Kwani unadhani Mwanamke mmoja ana wanaume wangapi? Isiwe kwavile wao wanajificha kwakuwa kwao kuwa na wanaume wengi ni aibu zaidi? Mimi nafahamu kuwa wanawake nao wanawanaume wengi tu, hasa hawa mabinti wakisasa yani hawajatulia kabisaaaaaa!!!!!!!!!

sikumaanisha hivyo mkuu!, watakuja wanaharakati hapa iwe balaaa.
nilimaanisha gender ratio ya wanawake kwa wanaume na si vinginevyo
 
Mpwa usiwaogope wana harakati. Ukweli ni kuwa mabinti ni wengi mpaka inatia aibu.
 
nenda kulia , nenda kushoto wanawake ni wengi sana.
mwanaume mmoja anauwezo wa kumiliki wanawake kumi,vivyo hivyo wanawake kumi wanaweza kumilikiwa na mwanaume mmoja.
 
1. Hivi mbona nchi za Kiislamu mwanamme mmoja huoa wake hata wanne..na bado akina mama wengine wanabaki?

2. Halafu basi- akina mama kuishi miaka mingi (2-8)..zaidi ya kina baba!

What they do is shuffling wives around. Ingekua kila mtu ana stick na mke wake huyo huyo for life wasingetosha. Kule ni kawaida kukuta mwanamke ana chuo cha 3, cha 8 hata cha 10. Sasa kwa mtindo huo kwa nini wasitoshe?
 
1. Hivi mbona nchi za Kiislamu mwanamme mmoja huoa wake hata wanne..na bado akina mama wengine wanabaki?

2. Halafu basi- akina mama kuishi miaka mingi (2-8)..zaidi ya kina baba!

Na vile vile akina Baba ndio wanaoongoza kwa kufariki kulikoni akina mama.
 
Kwa hiyo ili tuweze kusaidiana inapasa wanaume kuoa more thana one wife eeh!!!!?
 
Kwani unadhani Mwanamke mmoja ana wanaume wangapi? Isiwe kwavile wao wanajificha kwakuwa kwao kuwa na wanaume wengi ni aibu zaidi? Mimi nafahamu kuwa wanawake nao wanawanaume wengi tu, hasa hawa mabinti wakisasa yani hawajatulia kabisaaaaaa!!!!!!!!!

Una hoja binafsi wewe!!
 
Back
Top Bottom