simu za mezani maofisini kutopokelewa

simu za mezani maofisini kutopokelewa

carmel

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,836
Reaction score
267
Sijui kama ni mimi peke yangu ndo nakereka na hii tabia ya ofisi za serikali na oftisi zingine nyingi zenye simu za landline unapopiga hazipokelewi, yaani ni masaa ya kazi unapiga simu inaita wee hadi inakatika, unarudia, the same happens, jamani hii tabia gani? kwa nini simu zinawekwa in the first place kama hazipokelewi1 i hate this
 
yaani wewe sijui nikupe zawadi au??.
thanks inatosha tu, by the way nimeku-PM
 
Sijui kama ni mimi peke yangu ndo nakereka na hii tabia ya ofisi za serikali na oftisi zingine nyingi zenye simu za landline unapopiga hazipokelewi, yaani ni masaa ya kazi unapiga simu inaita wee hadi inakatika, unarudia, the same happens, jamani hii tabia gani? kwa nini simu zinawekwa in the first place kama hazipokelewi1 i hate this

Hebu nipigie Carmel wangu uone kama sitapokea. Ukiona mtu hapokei ujue eidha madeni mengi au anakwepa msala. Halafu Hujaniambia kama ile kitu uliyokuwa unaitafuta desperately kama ulifanikiwa. Unajua bado niko kwenye maombi? Kama vipi nisitishe. Hahahaha!
 
Matumizi ya mobile phone na internet ndio yanafanya simu za ofisini ambazo nyingi ni TTCL zisipokelewe.Ni kama vile matumizi ya barua yameshapungua sana.Ni wakati tu umefika.
 
Nooo mchungaji, usiache maombi kabisa, bado nayahitaji maana sijafanikiwa ila tu nimekaza moyo hapa nilipo.
 
Matumizi ya mobile phone na internet ndio yanafanya simu za ofisini ambazo nyingi ni TTCL zisipokelewe.Ni kama vile matumizi ya barua yameshapungua sana.Ni wakati tu umefika.
ni kweli mobile phones zinachangia, lakini mi nadhani kama ofisi na mmeamua kuweka contact zenu popote including namba za simu za mezani hakikisheni zinapokelewa.
 
Ukuaji wa teknolojia...Ukipiga simu ya mezani kwa kawaida siku hizi makampuni mengi yamerekodi sauti nyororo ya kukupokea na kukuambia hiyo ni kampuni gani na inakueleza iwapo unayempigia unaijua extension namba basi ibofye na una kuwa re-directed kwenye ofisi husika kama hujui inakueleza usubiri na inakupeleka kwa operator.
 
ni kweli mobile phones zinachangia, lakini mi nadhani kama ofisi na mmeamua kuweka contact zenu popote including namba za simu za mezani hakikisheni zinapokelewa.

Nadhani pia ni uzembe tu wa kazi hasa ofisi za serikali.Customer care yani ni zero kabisa.
 
ofisini kwetu hapa secretary anafanya makusudi unaweza piga simu mala elfu hapokei sasa sijui ajira aliomba ya nini?? kama kupokea simu hataki
 
Back
Top Bottom