Msiba: Charles Masanja hatunaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msiba: Charles Masanja hatunaye

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaitaba, Oct 19, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nasikitika kuwatangazia kuwa meneja wa uwanja wa taifa amefariki,

  Meneja huyo ni ndugu Masanja, amefariki leo kwa ajari baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba,

  Marehemu Massanja jana alikuwa uwanjani wakati wa mechi kati ya simba na maafande akiwa na afya njema.

  Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Ameni.
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wafiwa poleni na Mungu mwenyewe awafariji.amen
   
 3. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  RIP Masanja!

  kaitaba; ungeiweka kule kny mtangazo madogox2 ndo mahala pake
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Poleni wafiwa
   
 5. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Nawapa pole ndugu, jamaa na marafiki popote pale mlipo!!
   
 6. M

  Mwambashi Member

  #6
  Oct 19, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MUNGU awatie nguvu na ujasiri katika kipindi hiki cha majonzi ya msiba wa ndugu yenu.
   
 7. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  polen wafiwa na Mungu awape faraja yake ya kweli kipindi hiki cha majonzi, Amen.
   
 8. j

  josephkibena Member

  #8
  Oct 19, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe!!.
   
 9. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2009
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nilimuona jana uwanjani akiwa amepiga suti yake nyeusi akiwa mchangamfu sana, kama ilivyokuwa kawaida yake. Inasikitisha sana kumpoteza Charles Masanja. Alikuwa mtu mzuri sana. Tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi. May the Almighty rest his soul in eternal peace. Amen!
   
 10. s

  staloneg Member

  #10
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 11, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkubwa pamoja na majonzi hayo na chanzo ulichokielezea labda ungetuambia/kutukumbusha chanzo cha huo ukuta kuanguka huenda kikawa ni nini??
  • nyumba yake haikujengwa kitaalamu??,
  • Kuta hizo ni za zamani sana kiasi kwamba kusavaivu zilikuwa zinabembelezwa??
  • Ama alikuwa akipita tu maeneo hayo akaangukiwa mkuu???
  Mimi mwenzenu napenda kushughulika na chanzo na sio kutafuta nani mchawi, Samahani kama nawaboa jamani.

  Nawatakia pole na Mungu amlaze mahala pema peponi, Amen.
   
 11. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  RIP Masanja. sasa mimi kinachonishangaza ni kwa nini aliamua kuruka ukuta wakati alipokua akitaka kuingia ndani kwake? jamani ina maana hakuwa hata na namba ya simu ya mkewe au mtu yeyote ndani ili amfungulie mlango au ndio Islaeri alikua akimnyemelea na kumshawishi aruke ukuta ili afe? Kweli kifo tunatembea nacho bara barani na tupo nacho popote pale. Poleni wafiwa
   
 12. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Rip
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  RIP ng'wana Masanja.
   
 14. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  alirudi usiku saa saba, naona mawasiliano na ndani kwake either hayakuwezekana au yalikuwa hayapo ndo akaamua aruke ukuta aingie ndani. mguu ukaingia kwenye vile vidirisha vya ukuta ukavunjika, na inasemekana alikuwa amelewa
   
 15. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #15
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Daaaaaaaaah! Eti alikuwa akijaribu kuingia nyumbani kwa kuruka ukata na ukuta ukamrudia na kumkandamiza kwenye gari na ukawa ndiyo mwisho wa maisha yake!
  R.I.P Massanja.
   
 16. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Rip
   
 17. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kama umefuatilia hata vyombo vya habari vya leo, ni kwamba alikuwa anaingia ndani kupitia juu ya ukuta

  ukuta huo inaelekea haukuwa imara ukamuangukia, sijui ni kwa nini hakupitia mlangoni mpaka apande ukuta ndo aingie ndani.
   
 18. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  du kazi kweli kweli saa saba amaelewa!kweli mkewe kazi alikuwa nayo.matendo yake yanamfuata
   
 19. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  R.I.P. Ndugu Charles Massanja!

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=SMwrzlAOhZ4"]http://www.youtube.com/watch?v=SMwrzlAOhZ4[/ame]
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  hata mie ningependa kujua sababu za ukuta huo kuanguka

  RIP masanja
  kila mwili utaonja mauti
  FL
   
Loading...