Nimesoma taarifa kwamba ATCL inaingia mkataba mwingine na kampuni ya kichina ya CICL. Sasa swali langu ni je, waliotuingiza ktk mkataba feki na SAA ni akina nani? na wamechukuliwa hatua gani? Kama...
Wakati kukiwa na mambo lukuki ambayo wananchi wangependa mh.Rais ayatolee tamko,yeye ameamua 'kupambana' na watoto 14...Ok,swali langu ni kuwa hivi hivyo vituo vya redio na televisheni...
Wanaume wengi wamekuwa hawaamini mali zao ni za familia
mali za mwanamke ni zakwao...ndugu wanaume naomba mjitahidi
kuwaridhisha wake zenu ........mmepata mishara weka mezani...mwambie mkewangu...
Azimia wakati alipotakiwa kuingia chumba cha kuchukua majibu ya HIV
Friday, November 06, 2009 1:00 PM
MWANAMKE mmoja mkazi wa Tabata, amejikuta akiwa kwenye wakati mgumu na kupelekea apoteze...
Wagongwa na Treni Wakifanya Mapenzi juu ya Reli
Saturday, November 14, 2009 3:22 AM
Mwanaume mmoja wa nchini Afrika Kusini na mpenzi wake wamefariki dunia baada ya kugongwa na treni wakati...
Je, unapotaka kulala usiku ni lazima uvae 'night dress' iliyotengenezwa maalumu?? Je, huu ni utamaduni wetu watanzania? au ndio tunaenda na wakati? Mbona hizo 'night dress' wengine ndio wanatokea...
VILIO simanzi vilitawala katika mazishi ya msichana Khadija Daudi (22), mkazi wa Mbagala Charambe, ambaye aliuawa na mumewe, Sharif Kondo, kwa kuchomwa na kisu mgongoni kwa kile kilichodaiwa...
Wakati wa kuigawa nchi katika makundi umeshafikia.
Kundi la kwanza-Mafisadi wachukue chao na Mkoa mmoja.
Kundi la pili- Wakristo wachukue chao na Mikoa ya Kaskazini.
Kundi la tatu- Waislamu...
Mike Tyson Ampasua Uso Mpiga Picha, Atiwa Mbaroni
Mike TysonFriday, November 13, 2009 7:52 AM
Bingwa wa zamani wa ngumi za uzito wa juu duniani Mike Tyson ameingia matatani kwa mara nyingine tena...
Pensioner, 86, dies after being raped by teenager who dragged her from bed in care home
Last updated at 3:46 PM on 13th November 2009
An 86-year-old woman who was kidnapped and raped at...
Sweden's first lesbian bishop consecrated in Uppsala
Published: 9 Nov 09 07:43 CET
The Church of Sweden on Sunday ordained a female pastor as the country's first openly homosexual...
Swiss privacy watchdog to sue Google Street View
Last Updated: Friday, November 13, 2009 | 9:26 AM ET
Google's unstoppable drive to map and photograph the world has run into an immovable...
Kwanini Tanzania tusiwe serious katika kuhakikisha kuwa wavuta sigara hawafanyi hivyo katika public places? Kwa mujibu wa takwimu wa ongezeko la Kansa Tanzania zilizotolewa na Dr. Ngoma sababu...
THE presence of religious education in the school curriculum proves the central place religion holds. An ideal education takes a holistic approach that trains the head, the hands and the heart...
Wadau, nimesikia tetesi kuwa ubalozi wa Korea ya Kusini unampango wa kumleta Chumong nchini na hii yote ni kua-preciate mwamko wa Watanzania dhidi ya filamu hiyo iliyoisha wiki iliyopita. Balozi...
Brown Orders Foreign VISA Clampdown
Prime Minister Gordon Brown has acknowledged public fears about the costs of immigration and its impact on jobs and wages.
Mr Brown said people with concerns...
Mwanaume mmoja wa nchini Urusi ambaye alimuua mama yake alipokataa kumpa pesa za kwenda kwenye ulevi, amepunguziwa miaka ya kukaa jela kwa kula maiti ya mama yake baada ya kujitetea kuwa alikuwa...
Wananchi,
Sijui kama hii link imewahi kuwekwa hapa ila katika pitapita yangu mtandaoni nimekutana na hii link ambayo ina sera/policies kibao za Tanzania nikaona si mbaya ku-share.
Nafikiri...