Sera mbalimbali za Tanzania

Sera mbalimbali za Tanzania

Mpogoro

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2008
Posts
387
Reaction score
62
Wananchi,

Sijui kama hii link imewahi kuwekwa hapa ila katika pitapita yangu mtandaoni nimekutana na hii link ambayo ina sera/policies kibao za Tanzania nikaona si mbaya ku-share.

Nafikiri tutatengeneza muda na kusoma baadhi ya sera hizi na hivyo kuibua mijadala mipya yenye tija kwenye Jamii Forums.

Here is the link: http://tzonline.or.tz/policies.asp
 
Back
Top Bottom