Wakati wa Kugawana Nchi Umeshafikia

Haki

JF-Expert Member
Jan 14, 2009
356
17
Wakati wa kuigawa nchi katika makundi umeshafikia.

Kundi la kwanza-Mafisadi wachukue chao na Mkoa mmoja.
Kundi la pili- Wakristo wachukue chao na Mikoa ya Kaskazini.
Kundi la tatu- Waislamu wachuke chao na Mikoa ya Kusini na ya Kati.
Kundi la nne- Wasiokuwa na dini wachukue kilichobakia.
 
Wakati mwingine ukinywa chibuku yako uwe unapumzika nyumbani....au nenda bilicanas kwa mbowe.
 
Hakuna wakuniondoa kaskazini wala kusini...ndio maana nasema ile mambo ya kufanya allocation ya vijiji tulipinga mpaka wengine tumefiwa na wazee wetu..so wewe usilete kichaa chako hapa Arusha ni kwetu na Dar es Salaam ni Kwetu..hakuna nchi ya mafisadi wala waislamu wala wakristo ila kuna jamii watu wote kwa pamoja..
 
Pakistan na India mbona wamegawana, kila mtu kachukua chake. Kwa hiyo na sisi tunaweza kufanya vilevile. Let's do it.
 
Wakati mwingine ukinywa chibuku yako uwe unapumzika nyumbani....au nenda bilicanas kwa mbowe.

Yamtokayo mlevi siyo yot ni upumbavu, ni kwamba wengine hawana gati za kuongea mpaka wanywe kidogo ndo busara zinawajia. Huyu mlevi ana pointi sana. Usidharau maneno yake. usije ukawa wewe ndo mlevi huchambui jema wala baya, kwako yote sawa tu.

Mi yangu macho.
 
Wakati wa kuigawa nchi katika makundi umeshafikia.

Kundi la kwanza-Mafisadi wachukue chao na Mkoa mmoja.
Kundi la pili- Wakristo wachukue chao na Mikoa ya Kaskazini.
Kundi la tatu- Waislamu wachuke chao na Mikoa ya Kusini na ya Kati.
Kundi la nne- Wasiokuwa na dini wachukue kilichobakia.

Nakubaliana na wewe, is time for a change.
 
Back
Top Bottom