Night Dress! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Night Dress!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pape, Nov 14, 2009.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Je, unapotaka kulala usiku ni lazima uvae 'night dress' iliyotengenezwa maalumu?? Je, huu ni utamaduni wetu watanzania? au ndio tunaenda na wakati? Mbona hizo 'night dress' wengine ndio wanatokea 'mtaani'??
   
Loading...