Hivi walio saini mkataba wa SAA wamechukuliwa hatua gani? Na ni akina nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi walio saini mkataba wa SAA wamechukuliwa hatua gani? Na ni akina nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magezi, Nov 14, 2009.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nimesoma taarifa kwamba ATCL inaingia mkataba mwingine na kampuni ya kichina ya CICL. Sasa swali langu ni je, waliotuingiza ktk mkataba feki na SAA ni akina nani? na wamechukuliwa hatua gani? Kama ni basil mramba kwa nini asifilisiwe??
   
Loading...