Ndugu wana JamiiForums,
Kwa wale ambao mtakuwa hamjaona "Petition" yetu kwenye mtandao; nawaomba mtembelee - www.globalink.org/petitions/tanzania2, mtusaidie kusaini hiyo "Petition". Ni...
Dear all,
I am looking for an ISP to host a web based database. The ISP Server should be able to run the following:
PHP 5 (5.2 or higher preferred)
Apache 2.0.54+ (Apache 1 will work)
...
Ni zaidi ya miaka mitatu kocha huyu wa Kibrazil anaendeleza ubabaishaji najua anaweza kudai ati wachezaji wanakosa professionalism lakini hiyo si sababu kwa vile Uganda imeshinda kikombe hiki cha...
Wanajamii vp tukianzisha kampeni ya kuwanyima ccm kura ili wajue kwamba wao pia siyo miungu watu, tukiweza kuimiza vijana wetu kupitia mitandao inaweza kusaidia kuielimisha jamii.
Ni uvumbuzi unaofurahisha kwa upande wangu. Mtanzania Bw. Joseph Kimaryo mkazi wa Arusha amegundua jiko la kupikia linalotumia matone ya mafuta machafu (Oil chafu) na maji.
Akihojiwa na BBC...
The first-born is likely to be the smartest, according to research
First-born children are more intelligent than their siblings, research has found.
The oldest child is more likely to have a...
Millionaire who fought off a knife-wielding burglar is jailed (while the intruder is let off)
Last updated at 11:39 PM on 14th December 2009
A millionaire businessman who fought...
Mwambangoma huvutia kwake jamani,ivi kwa nini tusiwe na segment kaa michango/post za East Afrka.
Si unajua kwa sasa tumekuwa jamani ata Mwalimu alisema umoja ni nguvu utengano ni uzaifu...
ABS system
An ABS system consists of some wheel speed sensors, a hydraulic motor, some pressure release valves and a clever computer (or control module) which coordinates the whole thing (see...
Hii imenikera kwa kweli,mdogo wangu ana motto wa miezi nane joto lilikuwa linazidi mpaka kufikia 38.7C
Tukampeleka Aga Khani wakapima damu jamaa akaandika 4/500 MPS meaning malalia nne tukampeleka...
Matatizo ya ufisadi/utapeli Tz hayataisha milele!Tunaelekea kuwa kama Nigeria,labda ahueni population yetu ni ndogo hivyo resources zipo.
System ni na maana serikali,bunge ,mahakama na vyombo...
Chidi Mokeme is a romance scammer!
New shocking details
Monday, 07 December 2009
I am writing this message to warn all female fans of engaging with online contact with Nollywood actor...
Tumaini Msowoya, Iringa
SERIKALI imeahidi kushughulikia tatizo la vyeti bandia na shahada hewa ambazo zinazozidi kushika kasi na kupoteza mwelekeo wa taaluma nchini.
Akizungumza katika...
We have about 2 weeks remaining before the start of the New Year.
This is a list of most fascinating people in Tanzania for 2009. Watu hawa wamebadilisha kwa kiasi fulani mwelekeo wa nchi, au...
na Edward Kinabo
MSAJILI wa vyama vya Siasa nchini, John Tendwa, anakusudia kukichukulia hatua Chama cha DP, iwapo itabainika madai aliyotoa Mwenyekiti wa chama hicho, Mchungaji Christopher...
Wazee ni kama nimesikia kuwa kuna gari la lililokuwa kwenye mashindano likaanja njia na kujeruhi watazamaji kandokando ya barabara.
Kama kuna habari kamili tafadhali.
Tena kuna watu walikuwa wakiishi nyumba ya kupanga na walikuwa na watoto wawili,
mkubwa alikuwa na umri wa miaka minne, na mdogo alikuwa na umri wa miaka miwili.
Siku moja usiku wakati wa mchezo...
House boy anatembea na mke na watoto wa bosi wake wa kiume na wa kike, na house girl anatembea na baba/bosi wake na watoto wa kiume wa bosi wake.(Kwa baadhi tu ya hb na hg na sio kwa wote).
Je...