Tatizo sio Lowassa & Co ni SYSTEM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo sio Lowassa & Co ni SYSTEM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mwanamasala, Dec 14, 2009.

 1. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Matatizo ya ufisadi/utapeli Tz hayataisha milele!Tunaelekea kuwa kama Nigeria,labda ahueni population yetu ni ndogo hivyo resources zipo.
  System ni na maana serikali,bunge ,mahakama na vyombo vyote vya serikali.
  System aliileta Nyerere.Hapa JF wengine wanamuona Nyerere kama Saint.Mimi sio.Ukiwa YES man kipindi cha Nyerere ungepeta tu.Hakutaka kutenganisha vitu hivyo 3,yaani Bunge,Serikali na Mahakama.Ndio maana Hatuna DPP independent,TAKURURU is a big joke.Walio katika system wanalindana,wanakula pamoja etc.Watu wa chini tutacomplain hapa mpaka mwisho wa dunia lakini nothing will happen.Miaka 40 ya brainwashing imeharibu akilinyingi za Wananchi wetu.Tusitegemee Zitto,Slaa,Mwakyembe ndio watasort out corruption pekee!Watachoka na kuachia ngazi au kununuliwa na mafisadi.Akina Kaborou,Lamwai,Marando wako wapi???????????????????????????
  Mkapa,Lowassa,Sumaye,Wahindi ,Mkono,Masha wanapeta tu.No body will stop them.Hao hao wako usalama wa taifa,hao hao ni wabunge,baadhi yao ni wanaendesha law firm ambazo zina contract na vyombo vya serikali.

  Angalieni harusi ya Lowassa!Ni wangapi wabongo mnaweza kuimudu?Hata pesa inabuy influence makanisani hasa KKKT.Poor Reverend wa hapo Azania Front.Waliohudhuria ni top elites of the country.Mwinyi ,Salmin,Warioba etc.Watoto wao na vijukuu watakuwa na top class life mpaka wafe!Hata watoto wa marais wa Ulaya hawawezi kucompete na hawa elites!Tangu cabinet ya Nyerere hadi ya Mkapa,
  watoto wa hawa elites mambo yao sio mabaya kimaisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...