Uchaguzi mkuu 2010. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi mkuu 2010.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masssaiboi, Dec 15, 2009.

 1. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2009
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Wanajamii vp tukianzisha kampeni ya kuwanyima ccm kura ili wajue kwamba wao pia siyo miungu watu, tukiweza kuimiza vijana wetu kupitia mitandao inaweza kusaidia kuielimisha jamii.
   
 2. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2009
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,700
  Likes Received: 8,238
  Trophy Points: 280
  shida ni tumchangue nani..vyama vyote miozo! Ukweli ni kwamba hakuna chama kinachoonyesha uongozi bora..
  so till then, afadhali zimwi likujualo!
   
Loading...