Aga Khan Iringa U need to change | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aga Khan Iringa U need to change

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Njowepo, Dec 14, 2009.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hii imenikera kwa kweli,mdogo wangu ana motto wa miezi nane joto lilikuwa linazidi mpaka kufikia 38.7C
  Tukampeleka Aga Khani wakapima damu jamaa akaandika 4/500 MPS meaning malalia nne tukampeleka kwa hosp ingine hawakuwa na maabara kwa maelezo tuliowapa wakarecommend aanze amodia quine.
  Roho ikasita hatukumwanzisha dozi tukampa panadol kwa kuwa usiku ulikuwa umeenda kesho asbi tukaenda to one of credible lab apa Iringa kupima as jana yake walikuwa wamefunga jamaa hawakukuta malalia.
  Tukaenda confirm pale government hosp jamaa hawakukuta malalia na wakashangaa ile nne ya Agha khani wameitoa wapi?
  Nkajiuliza panadol imeondoa malalia walioikuta Agha Khani Jana!
  Agha Khani acheni kuendekeza hela jarini uhalisia wa kitu mbaya zaidi waweza end pale na tatizo dogo tuu ukapewa mzigo wa madawa ili mradi tuu bill ifike wekundu na kuendelea.Tena ata Agha Khan Mbeya wana ako kamchezo sijui kwingine.
  Mbona Agha Khani DSM ni wazuri au za mikoani ni Agha Khani jina tuu,mnashusha credibility yenu please!
  Msicheze na afya za watu si wao tuu bali na the rest of the hospital/dispensary.
   
Loading...