Jamani kulala na watoto kutatuadhiri siku moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kulala na watoto kutatuadhiri siku moja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Dec 14, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Tena kuna watu walikuwa wakiishi nyumba ya kupanga na walikuwa na watoto wawili,
  mkubwa alikuwa na umri wa miaka minne, na mdogo alikuwa na umri wa miaka miwili.
  Siku moja usiku wakati wa mchezo wa baba na mama, mchezo ukakolea utamu, manjonjo na malavidavi wakajisahau.
  Na walikuwa na kawaida ya kulala kitanda kimoja na watoto wao.
  Sasa mambo yaliponoga wakakipiga kitoto kile kidogo cha miaka miwili teke, kikaanguka huko chini,
  wakasimamisha pambano kwa muda , wakazugazuga hapo na kukikibembeleza.
  Baada ya kama dakika ishirini kupita wakaanza tena kulisakata lile gozi la mapenzi huku wakiamini fika kuwa watoto wameshalala fofofo,
  kale katoto kenye umri wa miaka minne, kwa kumuonea huruma mdogo wake kakasema..
  Wee jeni amka ujishike vizuri wameanza tena mchezo wao wasije wakakuangusha tena.

  Kwa hiyo jamani kulala na watoto kutatuadhiri siku moja
   
 2. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Maisha magumu Mkuu, hakuna anayependa kufanya haya mbele ya macho ya watoto wadogo.
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Ni kweli mkuu. Hasa inapotokea kuwa mtu anapanga chumba kimoja, hakina ceiling board na ndiyo anakitumia kwa kila kitu, yaani sitting room, dining n.k. Kama ingewezekana kwamba angalau chumba kina usiri kidogo, basi labda wangejaribu kuwa kama Wahindi ili watimize amri ya Mwenyezi Mungu mchana. Lakini hiyo ni ngumu sana kwani mtu wa namna hiyo atakuwa na kazi nyingi mchana (mfano kusomba zege) na mama anaweza kuwa na mishughuliko ya kuongezea kipato (mfano mama ntilie). Na kwa hiyo lazima wangoje usiku na hawawezi kusubiri sana kwa kuwa watakuwa wamechoka. Kuwahi asubuhi pia inaweza kuwa ngumu kwa sababu mama yawezekana anawahi samaki ferry! Kweli kuna watu wanakumbana na mitihani ya maisha. Na afadhali hawa wana watoto wadogo. Wengine wana watoto wakubwa kidogo (12-16 years) ambao wanaweza kugoma kulala makusudi ili wasilikize. Ukifikiri sana maisha ya namna hii unaweza kuwa kichaa au kutafuta ganja ili kuondoa soni na hivyo kuendelea tu hata watoto wakisikia shauri yao.:confused:
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ....na mbaya zaidi ukisema ukawalaze watoto kwa ndugu au jirani watateswa na wengine watawabaka na kuwalawiti. Ni mbaya sana na ukifikiri sana unaweza kuwa mwehu kabisa
   
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Ila cha kushangaza sana kuhusu watu wa namna hii, ni kwamba ndio utakuta wanavaa shati za kijani (za wasanii akina Makamba) na kuimba kuwa nanihii ndiyo baba, ndiyo mama.....na upuuzi mwingine. Watukueleza kuwa wako tayari kufungiwa jiwe na kutupwa baharini kuliko kukiacha chama chao. Mkuu, ukiwaza sana unapata kizungu zungu original badala ya kile cha kichina!!:rolleyes:
   
 6. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni mbaya sana,
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wazazi ni wajinga kbsa hawa, na baadhi ya ambao hawajatajwa hapa, kama huna uwezo unazaa ya nini? ili kusumbua watoto sio? na wengine hata kuwalisha hatuwezi. Ni aibu. Oaneni na msizae mleeane tu.
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Usiseme hivi mkuu.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Out of subject matter!Wll comment later!
   
 10. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kumbe? Lakini kuna tofauti kubwa sana toka familia moja hadi nyingine kwenye ukanda huu, mbona tunaoathirika ni sisi tu tunaishi maeneo yale yale ya kibangaizaji?
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Sipo, ukifikiri sana sisi waafrika tunatesa watoto, kwa mfano mtu ana watoto 8 hana kazi unawalea vp? na umasikini wetu huu???? hata kutibu malaria tabu kwa nini tusione mbali? Angalia mtu kama Clinton Ex prezdaa wa USA ana mtoto 1 sisi huku 8-10????
   
 12. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Elimu ndogo ndio imekuwa tatizo letu kubwa, elimu ya afya na uzazi pia ni tatizo kubwa. But i got ur point Nguli
   
 13. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #13
  Dec 14, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  PakaJimmy is a SUBJECT MATTER EXPERT!

  Sawa Mkuu nasubiri comment yako hapo baadae
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Dec 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha ahaha!
  unauliza nin mpwaaa?
  unadhani ni tatizo sana?!!!:D
   
 15. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nyota ya kijani(UMATI) wanajitahidi kuelezea, FEMINA talk show ambayo sasa ni FEMA, na kuna matangazo mengine mengi yanashawishi akina mama kutumia hata njia za kupanga uzazi lakini wapi.

  tatizo sisi masikini tunatumia tendo la ndoa kama kilevi cha kusahau shida zetu bila kutumia kinga za unwanted pregnant.

  baba na mama lazima mkae chini muungalie kipato chenu mnaamua kupata mtoto 1 then wa pili mna adopt.

  WATOTO/SPERMS WANGEKUWA WANACHAGUA FAMILIA ZAKUZALIWA AFRICA NA ASIA KUNGEKUWA HAMNA WATOTO.
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,958
  Likes Received: 23,634
  Trophy Points: 280
  Kale ka msemo Zaeni muongezeke mkaijaze dunia bado inazengua vichwa vya watu. Mi tubinti twangu tuwili tunanitoa jasho afu mtu anidanganye nitafute ka tatu? Ah wapi!
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wewe mpwaaaaaaaaaa!
  mbona unajisahau sana
  DUMISHA MILA MPWAAA!zaa zaana!
   
 18. m

  muhanga JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2009
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nguli sio ujinga ndugu vijimambo vya maisha tu hivyo, masikini nao wana haki ya kulana uroda na kuzaana, na ndoa za kiafrika bila watoto si unajua tena mtaandikwa magazeti, mtatungiwa na nyimbo za ngoma za kienyeji!
  we acha tu hata huo mchana chumba kimoja kinakuwa na mambo kibao, maji ya kunywa yamo humo, kupika ni humo, madaftari ya watoto yako humo, makochi huko huko incase kuna mgeni stimu lazima zikatike, kwa ujumla ni maisha magumu sana, na ndiohapo mtu anapoamua kula uroda usiku na vitoto vyetu vya kichina hivi havifungi macho, vinalala saa 8 usiku kwa kusikilizia mautamu ya watu, mwee I thank GOD kwa maisha niliyonayo, nayaona bora sana sana!
   
 19. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  wewe utafetua wangapi??
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mimi nitadumisha mila!:D
   
Loading...