East africa forum

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Mwambangoma huvutia kwake jamani,ivi kwa nini tusiwe na segment kaa michango/post za East Afrka.
Si unajua kwa sasa tumekuwa jamani ata Mwalimu alisema umoja ni nguvu utengano ni uzaifu!
Nawakilisha hoja!
 
Back
Top Bottom