Why first boy are the brightest in some cases

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
The first-born is likely to be the smartest, according to research

First-born children are more intelligent than their siblings, research has found.

The oldest child is more likely to have a higher IQ, and the youngest likely to have the lowest, say researchers.
Scientists at Vrije University, Amsterdam, studied 650 children whose IQs were tested three times until they were 18.

Dorret Boomsma, whose work will be published in the journal Intelligence, said: "The effect is seen in boys and girls.

"The highest IQ scores were in children without any older siblings, followed by children with one older sibling.
"Children with two or more older siblings obtained the lowest score."

Why this occurs is unclear but it is thought that the level of attention parents lavish on first-borns boosts their intellectual development.

But while the oldest may be the brightest, another study shows the youngest is the most favored.

Research on 2,000 families by the University of California found first-borns are achievers, who are dominant, religious, conscientious and neurotic.

Middle-borns are rebellious, less religious, impulsive and open to new experiences.

Last-borns are agreeable, sociable and creative - and are often the most favored child.


 
yaa inaukweli tena kwa asilimia kubwa tu.....maana watoto wa kwanza always ndiyo huwa kama wazazi wa wadogo zao na huchukua majukumu makubwa ya kuwalea wezao as if wazazi tosha....hususani kwa familly zetu za kiafrica.
 
Studies zinaonyesha jinsi unavyo zaa mtoto ukiwa kijana ndio mtoto anavyo kuwa smart zaidi na unapo zaa na umri mkubwa ndio mtoto ana pungua kua smart , so mara nyingi mtoto wa kwanza ana kua kazaliwa kwenye ujana wa wazazi , ndio mana ankua zaidi smart zaidi ya wengine.

Kingine ni malezi, wazazi wanavyo zidi kuwa na umri mkubw ana kuza ndio watoto wanakuwa brats zababu ya malezi ya kiutu uzima.

Kingine ni pressure kwa mtoto kumhimiza kuwa yeye ni ndio wa kwanza na anatakiwa kuwa na majukumu .hilo lina mjenga toka akiwa mdogo.
 
Ningependa kuona scientific peer-reviewed article kujua mzizi wa hii ishu, naona hapa hakuna point(s) so far..ni vapor tuuu..
 
"...Kama mishale kwenye podo la mwindaji, ndivyo walivyo watoto wa ujanani mwako..."(The Bible)...Ila suala la wao kupata majukumu ya kulea wenzao, hiyo ni kwa mujibu wa umri tu, na wala si kwa kigezo cha kwamba wao wana akili nyiingi kupindukia!.....Kwa mila na desturi zilizo nyingi mtoto wa kwanza ana rights na wajibu kadha katika familia yake, regardless ya kama atakuwa na akili miingi au wa kawaida!
 
Adulahim unajua accademically kama unaclash kitu lazima nawe uwe na findings zako vinginevyo ni kheri kutoclash!
Mimi naona in most cases ni kweli bse mtoto wa kwanza akitoka ata wazazi na wadogo zake watakuwa na pa kukimbilia in African context
 
lazima awe hivyo, ila wazazi wanampa good time na kumfundisha ili wanaokuja wafuate nyao. Its not a must awe na akili kiasi hicho. most cases wana akili.
 
Back
Top Bottom