Pingamizi la kuzuia matangazo ya sigara tanzania

Lutgard

New Member
Jul 16, 2009
1
0
Ndugu wana JamiiForums,

Kwa wale ambao mtakuwa hamjaona "Petition" yetu kwenye mtandao; nawaomba mtembelee - www.globalink.org/petitions/tanzania2, mtusaidie kusaini hiyo "Petition". Ni "Petition" ya kupinga matangazo ya sigara Tanzania. Matangazo ya sigara yameshamiri hapa nchini, tofauti na nchi nyingine, hata za wenzetu Afrika Mashariki. Yaelekea kuna mkakati mkubwa wa makampuni ya tumbaku kueneza tumbaku Tanzania kwa nguvu zote, kulingana (au ku-compensate) na wanavyozuiliwa kwenye nchi nyingine. Matangazo haya hulenga vijana, ambao huishia kuwa tegemezi wa tumbaku na mara nyingine kuelekea kwenye madawa makali ya kulevya.

Tafadhali tusaidiane, tuokoe vijana wa Taifa la Tanzania.

Ahsanteni sana.

Lutgard Kokulinda Kagaruki
Executive Director
Tanzania Tobacco Control Forum
Plot 766
Sam Nujoma/Igesa Rd, Opp Kobil Pterol Station
P. O. Box 33105
Dar es Salaam
Tel: +255 732 924088
Fax: +255 22 277 1680
E-mail: info@ttcf.or.tz
Website: www.ttcf.or.tz (under construction)
 
...and you think you are serious?...Hujitaki nini njomba?...wewe unapiga kazi huko halafu unapinga tena kichinichini...?..Mwajiri akikutimua usije JEIEFU kutuomba msaada!(light touch!)

Coming to ze point, hakika kabisa no one knows not the effects of this deadly smoke!..Tunauana hivihivi jamani!

Pesa bana ina vituko..matangazo ya sigara yanaonyesha watu wazuuuuri ajabu wakivuta sigara, huku wamepaki magari ya pesa mingi pembeni!

Kama kampeni hii itafanikiwa itasaidia sana kupunguza shida hii..Lets join hands!
 
mkubwa kwanza point of correction; mtoa mada anafanya kazi na tz tobako control forum

back to the subject: jamani cha kusikitisha uvute usivute in way or another madhara yake yanakupata. tena naskia sisi tusio vuta ndo tunadhurika kwa wepesi zaidi kuliko mvutaji!

hivi tz si tunasheria inakataza kusmoke publicly??? enforcement vipi sasa??
 
I will sign it soon i get it. Nachukia sana uvutaji wa sigara.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom