Ninawatakia wa-Tanzania wote, uchaguzi wa baraka na amani. Na iwe kwetu kile ambacho ni chema Mungu amekusudia kwa Tanzania kitokee.
Katumie haki yako nenda kapige Kura.
KAM
kwanini Baraza la sanaa la taifa na wizara ya utamaduni isiendeleze viduku na mapanga ya TMK kuwa sehemu ya nembo ya taifa (dance) katika mataifa mengine...kama ilivyo kwaito ya south africa au...
habari za kushangaza kutoka jiji la Mwanza! Jiji lenye wakazi wengi la pili nchini ! Hivyo ni jiji lenye mwammko mkubwa katika masuala ya kisiasa!!! Cha kuchangaza ni kwamba tangu jumapili ya 23th...
:thinking:Kuna taarifa zinasema kuwa; Mkapa baada ya kusakamwa sana na UFISADI,
siku moja akiwa nje ya nchi, alikutana na Mwandishi mmoja ambaye
alikwenda huko kwa ajili ya kupokea Tuzo, baada ya...
Habari wanajamii, naomba kuuliza nitawezaje kuangalia stesheni za television za nyumbani TBC/ ITV kwa kupitia satelite? kama kuna mtu ana uzoefu huo naomba msaada. asanteni
Leo asubuhi kupitia TBC1 Kawambwa amekanusha tuhuma za matundu 4 kwa 700m, badala yake yeye anasema yamejengwa kwa laki 7.
Ila alikua anaonekana hayuko secure na alichokua anaongelea.
AFRICAN LEADERS
Abdulai Wade (Senegal) age 83
Hosni Mubarak ( Egypt ) age 82
Robert Mugabe(Zimbabwe) age 86
Hifikepunye Pohamba ( Namibia ) age 74
Rupiah Banda ( Zambia ) age 73
Mwai...
Habari wana JF, Ningependa kuwajuza kuwa kuanzia 1st November 2010 kwenda South Africa kwa mbongo yeyote mwenye kumiliki PassPORT halali hatahitaji VISA.
Kwa wajasiliamali na wasomi hii ndo...
Wana jf, zikiwa zimesalia saa chache kabla ya kupiga kura ni vema tukahakiki uwepo wa majina yetu kwenye orodha ya wapiga kura. Temberea tovuti ya nec uhakiki jina lako.
Kuna habari zilielezwa wakati ule Mfalme wa Pop Marehemu Michael Jackson alipotembelea Dar es Salaam kwamba bila kuficha alisema mji unanuka, baadhi wakamponda kwamba ana nyodo.
Amini usiamini...
Nimekuwa nikiona baadhi ya watuhumiwa wakiwa wameshikiliwa au kusindikizwa chini ya ulinzi wa wa askari wanaoitwa "Askari Kanzu". Juzi juzi mitaa ya barabara ya Nyerere maeneo ya njia panda...
Nasikiliza Clouds FM sasa hivi, Lukuvi anawakemea maafisa afya na haya ndio niliyojaaliwa kuwasikia na kuyaandika jamvini...
Kwenye hotel mnakagua sana.
Saa mnazokwenda ni zilezile mnazokuwa na...
Yawezekana ukafanya siri baada ya tar 31 ikawa sio siri tena si mbbaya kuwahabalisha wenzao kw muda huu mfupi yawezekana watu wengi wamekula kasa kwa wagombea wetu utakapokuja kutueleza...