Unamchagua nani oct 31?

Unamchagua nani oct 31?

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Yawezekana ukafanya siri baada ya tar 31 ikawa sio siri tena si mbbaya kuwahabalisha wenzao kw muda huu mfupi yawezekana watu wengi wamekula kasa kwa wagombea wetu utakapokuja kutueleza unaempigia na kwa nini unawezabadilisha umati wa watu kwa siku hizi 4

Je, unamchagua nani oct 31?
 
SlaakuhutubiaManzese.jpg
 
Mimi Dk. Nyu Pamoja na Ukoo wangu na na Ukoo wa mama NyU Kura yetu ni kwa Dr. wa Ukweli
 
Mimi na familia yangu pamoja na connection ndani ya extended family ni Slaa for presidency na hawa wabunge na madiwani siri yangu
 
Mimi na familia yangu pamoja na connection ndani ya extended family ni Slaa for presidency na hawa wabunge na madiwani siri yangu

Umentisha wengine kuna siri gani ndani?
 
Mimi bado sijaaamua, nitafanya uamuzi kesho kutwa usiku wajameni
 
Back
Top Bottom